Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Ndoa ni utapeli
Oaneni mkazaliane muendeleze ukoo.
Drama za kifilipino hazina nafasi kwenye ndoa halisi.
Mkichinjana tutawazika na kuwasahau.
 
Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui?

Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni Kuogopa kuchachia home, kuolewa kama mashost zake walio ndoani, kufuata Mali za mwanaume na wengine Ili tu akapate watoto ndani ya ndoa nk.

Mnakaa mnalalamika hapa Wanawake wabinafsi, wachoyo ndugu zangu, tatizo lilianzia kwako. Kuforce mapenzi, kuoa asiyekupenda kwa sababu zako binafsi. MWANAMKE ASIPOKUPENDA USITEGEMEE KUSHIRIKIANA NAWE KWA CHOCHOTE NDANI, Never

Zaidi ataishia kukutesa tu(Swalha&Said) mwisho kuchinjana Kwa usaliti. Pendaneni kwanza tafadhali
Ukimpenda wakati huna hela anakukimbia ukiwa na hela anafuata pesa tu ila hakupendi mbona umeongea vitu viwili tofauti ambavyo vipo kwa watu tofauti na sio mtu mmoja.
 
Ukimpenda wakati huna hela anakukimbia ukiwa na hela anafuata pesa tu ila hakupendi mbona umeongea vitu viwili tofauti ambavyo vipo kwa watu tofauti na sio mtu mmoja.
Wee😳 usiniambie!?
 
Ila mi nachojua wanaume hawaangalii I love you nyingi, wanachukulia utii ndo upendo....na Sisi wanawake tukiwa tunataka ndoa tunajua kuigiza mashaallah....kila unaloambiwa unatii, wao wanachukulia unawapenda....So tunawaconfuse hawa Kaka zetu.
 
Inawaumiza sana😥
 
Mwanaume akiingiliwa nyuma hiyo ni shida Kubwa sana, maana asili ya mwanaume ni kuingilia sio kuingiliwa, ukiona mwanaume anaingiliwa nyuma hesabu hakuna mwanaume hapo, ila ni mfano wa mwanaume Beesmom
Wanatafunwa kweli,wanakunjwa style zote na hutoa miguno ya kike yote.Washenzi hawa
 
Sio kua hawapendani, wanapendana sana ila kuna kuchokana ndgu yangu.

Labda kama hapo awali walikua na mhuasiano na wakajuana walau kidogo haiba zao hasa zile mbayambaya na kila mmoja nafsini mwake akakubali kubeba madhaifu ya mwenzie ama lah kuyabadilisha.

La sivyo mtachokana mapema mno, na sababu kubwa huwa ni uongo na kupretend kipind cha uchumba.

Hivi mwanaume unajijua kabisa we ni chapombe halafu unamficha mpenz wako, unakunywa kwa sirisiri ili asijue, jua siku akijua basi ndoa itakua na migogoro, una mtoto ulizaaga huko mbwinde mmefichana nk.
 
Mwenye sikio na asikie neno hili jamaa anena wazi wazi kuwambia wana JF
 
Back
Top Bottom