Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Nampenda vipi...ni kwamba anatuzidi nguvu sio kwamba twampenda. Tutampendaja wakati anatuelekeza kwenye mauti

Unaweza kumshinda kabisaaa hujadhamiria tuu
Hata wengine tulikua na mapungufu makubwa tuu tukadhamiria, wote tumepungukiwa lakini tunapambana
 
Hii hii akili iongelee Ni kwa Nini sie Ni masikini,na Ni kwa Nini tunafanya kazi ambazo hatuzipendi kuliko kuongelea mapenzi,Mana ukiwa na pesa utakuwa unaoa/kuolewa hata Mara kumi Kama wazungu kuwa na talaka Mia sio big deal. Blacks let us not take seriously sex, love, marriage rather than our we should take into consideration our life.
Mtu afanye Nini aliyetaka kuwa daktari sema akawa mwalimu wa bailojia na kemia na ilhali moyo wake upo kutibu wagonjwa.
Remember happiness is constant problem solving in our life. We need to make people be happy and prosperous in their life. Hapa ndipo wazungu wanatuzidiaga Mana wanaicheki mno ku nurture talents za watt wao sema sio tuna nurture suala la sex.
Wale jamaa kufaki one another once in a night halafu kesho mmeshasahauliana Ni ishu ya kawaida. Wapo real mno mapenzi Yana expire ,hata furaha yako ya kumiliki gari ,house,mtt n.k huwa inaisha muda wake unaona Ni kawaida.

Cheki Ile ladha ya kut00mbana first time huwa iko tofauti na incoming days Jamani.
Hata ukinunua gari utaipenda Kama Nini Ila as days goes on una take easy mpaka unaweza ukamuazima mshkaji Ila before hata lift Ni kazi labda utembee viwanja na maeneo mbali2 kisa Cha ego yako inaku drive uonekane na wewe uko juu ya dunia.
Sawa mkuu,nimekuelewa sana
 
Umenikumbusha ishu kama hiyo upande WA shemeji zangu....kuna shemeji yangu mmoja alisema aliolewa na mtu asiyempenda na ilifika kipindi alikuwa akiwa bafuni analia....lkn baadae anasema alikuja kumzoea na kumpenda...dah inafikirisha sana!
Ana moyo sana,yupo vizuri sana
 
Unaweza kumshinda kabisaaa hujadhamiria tuu
Hata wengine tulikua na mapungufu makubwa tuu tukadhamiria, wote tumepungukiwa lakini tunapambana
Aisee ngoja nikutafute unipe tips za jinsi ya kufhamiria
 
Tabia za umri na makuzi. Ujue ndoa kwa kiasi fulani naifananisha na shule. Kama tungekuwa na akili za ukubwani wakati ule bado mdogo unaanzishwa shule nakupa hakikia wengi tungeikataa shule.

Siku zote utoto ni UTUMWA

Ujana MASWALI na

Uzee UGONJWA.

Umri wa kuoa / kuolewa mambo mengi yanayohusu ndoa yanakuwa yamejificha , kadiri siku zinavyosonga mbele unagundua kwamba yale meeeengi uliyojiaminisha kuwa yamo kwenye maisha ya ndoa sivyo ilivyo kiuhalisia.

Umejiumbia mumeo / mkeo wa udongo matokeo yake mkikaa pamoja kindoa unagundua kwamba kumbe mvua ikimnyeshea dongo lote linatepeta linaporomoka anabaki ile skeleton na ndio unamuona kwa uhalisia wake.

Lakini kuna kuongopeana sana hasa kama umakini wa kina kumhusu mwenza wako haukufanyika ipasavyo. Mkishaingia kwenye ndoa ndio mnayakunjua makucha kila mmoja anaonekana kwa uhalisia wake.

Uvumilivu ni jela ,ndoa ni furaha
Yeah,ndoa ni furaha🤜
 
Back
Top Bottom