Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Ngoja nikuulize ikiwa akawa yupo vizuri kwenye sex anakulizisha na pia anakuonesha upendo kwa kiwango Cha juu ila tu ana sura mbaya vipi utampenda au hautampenda?
Sanaa,Hakika nitamuhusudu
 
Nawaza kuolewa na mtu ambae hakuvutii yaan hivi wanawezaje? Hatari
Ebu nikuulize bibie ikiwa ana sura mbaya kama unavyosema lakini akawa anakuridhisha kwenye sex na anakuonesha upendo wa kiwango Cha juu utakubali kuolewa nae au utakataa?
 
Kwanza unatakiwa ujue kuwa na sura ya kuvutia ama kinyume chake haina mahusiano na kupenda. Naweza kumpenda yeyote yule kama ana vitu tunamatch nitaolewa nae tu.
 
Tusidanganyane eti mtu asiyekupenda uwezi kumfahamu hell No.. mtu anayeigiza upendo ni simple kumtambua kwa sababu kuna wakati inabidi awe reality nje na kuigiza utaona tu matendo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu anaekuigizia mapenzi hata round huchukui kumjua basi tu kuna nyakati tunapotezeaga ila ukweli unajulikana.
 
Kwanza unatakiwa ujue kuwa na sura ya kuvutia ama kinyume chake haina mahusiano na kupenda. Naweza kumpenda yotote yule kama ana vitu tunamatch nitaolewa nae tu.
Nimekuuliza Hilo swali Kelsea ili upate reality ya ulivyoshangaa kwanini mdada fulani anakubali kuolewa na mtu ana sura mbaya kwa kawaida ni ngumu kumpata mwanaume au mwanamke mmoja mwenye sifa zote kuna kwingine akawa ni handsome, tall darkness lakini pesa hana na pia sio mzuri kwenye sex kuna mwingine unakuta ana sura mbaya lakini ana pesa, nafundi kwenye sex mwisho wa siku preference inabaki kwa muhusika na ndio maana wazungu wanamsemo wao hivi "Love doesn't ask why" mapenzi siku zote hayana formula Unaweza kukuta umpendi fulani lakini ukashangaa ukampenda huyo huyo baadae.
wined
mzabzab
Mamy K
 
Ulichoandika ndicho nilichokimaanisha, thanks.
 
Nilishasema mimi na waafrika basi kwanza napenda kutoa shukurani kwa wote walionipa stress napenda kutoa shukrani kwa walionichukuliwa nyota wakaitumia kwa faida zao kama kuolea katika biashara zao nawakanitelekeza wakaenda na nyota nikaruidish baada ya matumizi yao binafsi .

Nawashukuru kwa wanaume walioniona mie wakuwa honga mwisho wasiku wakanitelekeza .

Ila namshukuru Mungu wangu kwakuninyima ndoa na wehu kama wanaume wakiafrika wasiojali wake na wapenzi zao wanajali malaya pekee baba yangu wa mbinguni asante wewe ni mwema nanitakupa sifa daima .
Nakusifu sana hakuna kama wewe I LOVE THE ALL TEAM OF GOD AND JESUS .
NIMEMALIZA .
HALAFU WAO WANAJIREMBA TU SIKU HIZI SIJUI NI MADEMU .
UNAINGIA KWA MTU KAWEKA MIPAPUM HATARI NA HADI KAROLIGHT 🙄🙄
 
Pole sana dada yangu hayo ni mitihani ya maisha tumeumbiwa binadamu unatakiwa umuombe Mungu akusaidie kushinda mitihani
 
Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui?

Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni Kuogopa kuchachia home, kuolewa kama mashost zake walio ndoani, kufuata Mali za mwanaume na wengine Ili tu akapate watoto ndani ya ndoa nk.

Mnakaa mnalalamika hapa Wanawake wabinafsi, wachoyo ndugu zangu, tatizo lilianzia kwako. Kuforce mapenzi, kuoa asiyekupenda kwa sababu zako binafsi. MWANAMKE ASIPOKUPENDA USITEGEMEE KUSHIRIKIANA NAWE KWA CHOCHOTE NDANI, Never

Zaidi ataishia kukutesa tu(Swalha&Said) mwisho kuchinjana Kwa usaliti. Pendaneni kwanza tafadhali
Hao hawakupi pressure akienda akikaa nawe sawa tu...hakuumizi km unae mpenda sana...make huyu utamlindaaaa kumchunguzaaa....akipigwa nyapu pressure tupu.waweza kufa kila saa hutoki ndani...usiye mpenda utapata afya sana.
 
Ni Kweli
 
Back
Top Bottom