Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

1730096228251.jpg
 
Wengi vijana wamehamia kwa mashangazi kwa sababu;
1.wanajua thamani ya mwanaume
2.ni wasafi
3.hawana mambo mengi, hawana papala wanasubira,
4.sio watu wa kupenda kuwasiliana mara kwa mara (hawana zile za baby umekula, nimekumiss,n.k)
5.Ni waaminifu ukiwa nao, hivi vitoto vinawapanga wanaume mpaka 8.
6.Hawana matatizo ya kiuchumi, hawa watoto utasikia kodi imeisha, pesa ya kusuka, anataka kufanya birthday party, mamake mgonjwa, simu iliingia maji anataka mpya.
Yaani mahusiano kwa hivi vitoto ni kama "mpango maalumu wa kupunguza umaskini wake"
 
Jana nimecheka sina mbavu baada ya kumsikia redioni mtangazaji mmoja maarufu mwenye sura nzuri na umbo kubwa kukataa katu kuitwa mshangazi. Ni mshangazi hasa ila hataki aitwe hivyo, kasema ni kuwashushia hadhi mashangazi wa ukweli ambao ni dada wa baba
 
Yani hawa vijana wanakera sana...yani kakijana kanaona mtu umevaa pete ya ndoa unafamilia yako bado kanajikakamua kukusarandia na hakataki kusikia..vinaudhi sana...vinapenda mtelemko hakuna kingine...
 
Back
Top Bottom