Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

Je ni vijana ndio wanapenda mishangazi au mishangazi ndiyo inapenda vijana? Kuna lishangazi moja hapa mtaani linawatambia mabinti kuwa linatoka na vijana wadogo, linasema halitaki wazee/majibaba kwamba shughuli hawaiwezi wanachoka haraka
 
Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

View attachment 3136926
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom