Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Ulisikitika nini? Wivu tu umekujaa. We na wazee wako je inatuhusu? š¤£š¤£š¤£Ni leo tu kwenye gari siti nliokaa nimeona mshangazi na kakijana kadogo wanapeana mate nikasema hawa si wakamalizie waendapo au ndio ashiki zimejaa mpaka kichwani
Nmesikitika sana cc Fake P