Wengi vijana wamehamia kwa mashangazi kwa sababu;
1.wanajua thamani ya mwanaume
2.ni wasafi
3.hawana mambo mengi, hawana papala wanasubira,
4.sio watu wa kupenda kuwasiliana mara kwa mara (hawana zile za baby umekula, nimekumiss,n.k)
5.Ni waaminifu ukiwa nao, hivi vitoto vinawapanga wanaume mpaka 8.
6.Hawana matatizo ya kiuchumi, hawa watoto utasikia kodi imeisha, pesa ya kusuka, anataka kufanya birthday party, mamake mgonjwa, simu iliingia maji anataka mpya.
Yaani mahusiano kwa hivi vitoto ni kama "mpango maalumu wa kupunguza umaskini wake"