Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Hoja ya single mothers ni pana sana huwez imaliza kwa point hizo mbili tu.
Nadhan kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia ikiwemo weaknesses za wanawake.
 
Kume kuchwaaaa
 
Sasa kimezuka kizazi cha vijana wa kiume kinachopenda kulalamika sana baada ya kutatua changamoto.........

Kizazi kisichopenda kuwajibika kwa matendo yao badala yake wamekuwa watu wa kulaumu tu.......

Kizazi cha watoto wa kiume wasiojua wala kutambua maana ya UANAUME........

NB;
SIKUBALIANI NA SUALA LA UWEPO WA SINGLE MOTHERS....LAKINI MJADALA WAKE PIA UHUSISHE LAWAMA KWA PANDE ZOTE MBILI.......
 
Unazungumizia single mothers au wajane shekh??

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
umejibu ya kwangu huko juu?

haya maisha siyo ya kupambana na mambo binafsi ya watu wengine
Nimeuliza kistaarabu sana and simple unanijibu kwa kuniuliza tena kwa kupanic , anyway hv a gd day
 
Mm single mother siwaoni na kosa kuachwa au kusalitiwa hio kawaida kama binaadamj, kosa kubwa wanaonikera mm hawawezi kuachana na aliempa mimba, yaani ata umuoe akikutana na baba mtoto lazima apashe kiporo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1732]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1732]
Hapa wengi ndio tuna maswali kichwani wallah, tunataka tuwasaidie kwa kuwastiri ila ukifkiria baba aliempa ujauzito ameshaachana nae basi roho inasita kwanza
 
Nimeuliza kistaarabu sana and simple unanijibu kwa kuniuliza tena kwa kupanic , anyway hv a gd day
fanyeni mambo yenu single mothers muwaache na mambo yao..ulibarkiwa kuwa na family ni wewe
mwingine kawa single mother or single father ni yeye.
 
Just a dumb person roaming online, trying hard to look smart.

Ukiona kwenye akili anatokea Kigoma, ujue ni Mmanyema.

Waha ni takataka tu.
Usiruhusu hasira/chuki zikufikishe mbali kiasi hiki
 
Hapa wengi ndio tuna maswali kichwani wallah, tunataka tuwasaidie kwa kuwastiri ila ukifkiria baba aliempa ujauzito ameshaachana nae basi roho inasita kwanza
Sio wote wenye tabia hizo, wapo wanaojielewa na wana misimamo yao. Unadhani wasio 'single mother' huwa hawachepuki?
 
Sijui ilianzia wapi lakini ni miongoni mwa tabia mbaya sana katika ubinadamu.

Single parents ni watu wazuri, nimewahi kuishi nao.
Hawana kosa katika yaliyotokea ni safari ya maisha tu na sio vinginevyo.
 
Sio wote wenye tabia hizo, wapo wanaojielewa na wana misimamo yao. Unadhani wasio 'single mother' huwa hawachepuki?
Wanachepuka sana ila tunawaongea wao coz wimbi la single mom limeongezeka kitaa, tunachotaka tuwarekebishe baadhi yao waliokua hawajatulia
 
Lazima tuwaambie ukweli sababu wameanza kuwa janga la taifa vilio vimekuwa vingi mtaani. Ifike mda wapatiwe ID zakuwatambulisha labda rate ya wanaume kuwa na furaha itapanda.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Huna furaha kwa chaguzi zako binafsi, si chaguzi za watu wengine. Mtu kazalishwa ww unakosa furaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…