Habari wanaJf, niingie kwenye mada straight. Hawa dada zetu na mama zetu kwa kila namna wanakila jinsi yakukiri makosa yao na kujifunza na kufunza wengine kuwa stiff heads haitawasaidia kitu.Nitatoa agenda yenye uzito wa kosa lao kubwa na hamna wa kulaumu zaidi yao wenyewe.
Either
Kama aliyekupa mimba/mtoto na ukakubali na ukagundua akufai kosa ni lako wala sio lake ulitakiwa kulijua ilo kabla ujakubali kuruhusu mimba kuingia au kuendelea naye, adi hapo umeshafail,
OR
Kama ni tatizo lako na kusababisha muhusika kukimbia ilo nalo tatizo ni lako hauna wakumlaumu kwa hizi sababu mbili tu zinatia mashaka maamuzi yenu ya mbeleni na misamamo yenu, ndio maana kumekuwa sitofahamu juu yenu.
USHAURI:-Rekebisheni hayo matatizo niliyoyasema hapo juu uenda janga la kuwa single mothers kupungua na sitofahamu. NI HAYO TU.