Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Yupo kawaida na anayosema hayaapply kwenye taifa letu so cut us some slack.Mnazidisha idadi ya machokoraa tu!
Baba mtoto wako yupo wapi na kwa Nini kakuzalisha na kakutelekeza? Je Ni mume wa Mwanamke Mwenzio?
 
Aaaa wapi... Sio kweli.....
 
uzuri wako umekubali kuwa single mother na single father wote hawako fit kuingia kwenye ndoa. Hiyo ndio point kuu.
 
Yaani umeongea bonge la pointi Rebeca 83!Salute to that madam!
Wao sijui wanataka hizo mimba wanazowajaza watu wakazitoe baadala ya watu kufundishwa njia mbadala za kujikinga.Hivi katika mashule Tanzania watoto wanafundishwa jinsi ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa?

And since wanaume wanahalalisha uzinzi ni vyema mabinti wafundishwe jinsi ya kujikinga na uzazi wa mpango!Nchi nyingine vidonge vya uzazi wa mpango ni bure kwa mabinti!Serekali inatambua katika umri fulani mshawasha unaongezeka na ili kuepuka mimba zisizotarajiwa hao mabinti wana option ya kuchagua ya njia ya uzazi wa mpango!
 
Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mdada nilikutana nae anatafuta mchumba serious badae aje kuwa mume basi nikajikuta naanzisha mahusiano nae.

Baada ya kudate nae zaidi ya miezi minne nimekuja kugundua kumbe ni single mother alizaaga na mume wa mtu ambaye anadai kipindi cha uchumba alimzalisha akamkimbia akaoa mtu mwingine hivyo alimtelekeza . Na kuhusu mtoto yupo wake kwa sasa yupo mama yake Kibaha anamlea.

Kiukweli huyu binti hajanikosea chochote ila mimi kama sipo tiyali kuoa single mother staki kumdanganya kama nitamuoa wakati moyoni najua siwezi kumuoa hivyo naombeni njia ya kusitisha huu uhusiano bila kumuumiza huyu mdada
 
Wewe miezi m nne hiyo hyo si umefukuzwa kwenu; duration ya miezi nne inaonekana imekukaa Sana kichwani????

Aya umeshapata kwa kuishi;;
Hahaha mkuu home nimeshasepa kuna sehemu nipo kwa Mshikaji huku najichanga hela ya kodi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Njia ya muongo ni fupi sana, mara upo na singo mother miezi 4 mara mara upo kwa baba mkubwa miezi 4 umepewa siku 30 uondoke, Chai sana aisee
 
Kila siku tunaongea humu ....

Oeni bikra ,hao single maza hawana la kupoteza watakuharibia maisha kijana ...

Kwanini uanze game 1-0..

Anza game 0-0
 
Wewe dogo unazingua sana. Wewe jana si ulianzisha sredi (thread) kwamba baba mkubwa amekupa notice ya siku 30 uondoke kwake? Umeshatoka na tayari kabla ya muda na kukamata single maza? Una laana wewe. Ukute ndio kitu ya baba mkubwa, utakula jeuri yako mjaa laana wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kama single maza anakukosha, kamatia hapo hapo kama mtu aliyesombwa na maji akakamata mzizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushasepa home??

Huyu ameshazaa??

Vipi ushapata kibarua cha kuendesha maisha?

Unatuomba ushauri wakati hapa ulituelekeza namna ya kuacha mwanamke? Pitia desa zako au mganga hajigangi?


Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu....
 
Kesi nyingi zilizoko mahakamani ni viwanja vyenye mgogoro. Yaani hata zikiisha utasikia kuna mwanafamilia kakata rufaa, mara yule kaleta bill of cost. Mara yule kaleta zuio, Etc etc......

Ndo maana tukakubaliana kabla viwanja vyenye mgogoro havijanunuliwa, kwanza mnunue hivi visivyo na mgogoro.

Bi shost hawezi kuolewa kirahisi hivo wakati kuna wadada wamejitunza wakajinyima starehe sasa yeye ni nani? Kwamba ana bahati zaidi ya wengine?
Kwamba yeye anajuamulia tu kwamba yeye hawezi kula pipi kwenye ganda leo aolewa tena kirahisi? Hapana.!!

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…