Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

JF shikamoo[emoji119]
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Nadhani hujaelewa mada sijaongelea kwamba single mother apewe kipaumbele kwenye ndoa!Nimesema aache kuhukumiwa na sio jukumu la mwanamke tu kula pipi na ganda!Hujui hata condom inaweza kupasuka?
Au unamaanisha hawa wadada wanaotoa mimba chungu nzima ndo wamejitunza?
 
Kila siku tunaongea humu ....

Oeni bikra ,hao single maza hawana la kupoteza watakuharibia maisha kijana ...

Kwanini uanze game 1-0..

Anza game 0-0
Kila la kheri kwenye kuoa bikira katika karne hii!Vitu vingine tukiongea viwe vinakaribia pamoja na kuendana na uhalisia na nyakati tuliyopo isiwe blah blah tu!
 
Usiwazuie waache waongee coz wapaka kucha, bodaboda na shamba boi wanawarekebishia nati wake zao watakatifu.
 
Mwanamke hazikwepi lawama sababu ni yeye pekee ndie mwenye maamuzi ktk hili. AKISEMA YES NI YES, POA AKISEMA NO NI NO.
 
Mbona huelewi[emoji30]hivi kama me akitaka kutiana na wewe ukimkatalia atakuua?? Waamuzi Wa mwisho ni nyie... Ukitaka mimba utapewa na usipotaka kamwe Hutopewa.
Hivi ww kama kweli mwanaume rijali how can you and stand of majority and proclaim to be so irresponsible?Hii ni aibu kubwa. Zinaa ni tendo mnalokubaliana nalo wawili na hata kinga pia!Kama ww hutaki mtoto au majukumu jikinge vaa condom au mwaga nje for the least!Shame!
 
Immagine vile umesumbuliwa miezi, na bado kutoboka utoboke then umwage nje, men tena ikiwezejana mwaga kabisa kwenye ovary co cevix!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…