Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine anawakilisha tatizo lake. Alafu mkuu, kupata hela hakusababishi mtu aache kufikira matatizo ya wengine, maana bado ataendelea kuishi nao tu.tafuta hela hata hutapata muda wa kufikiria matatizo ya watu.
kama yanagusa moja kwa moja ila ukiwa busy huwezi hata kupoteza muda kufikiria mambo binafsi ya mtu mwingine ambayo hayana impacts kwako. hawa ni kama wale wanakaa vijiweni mtu akipita na gari wanaanza kumjadiliPengine anawakilisha tatizo lake. Alafu mkuu, kupata hela hakusababishi mtu aache kufikira matatizo ya wengine, maana bado ataendelea kuishi nao tu.
picha lilikua 'ze endi', mnyama 'kariwaindi'Wameanza Upyaaaaaaaaaahhhh! 😂😂😂
Masingo maza wengine wanang’aka balaa yani kwa maamuzi yao mabovu ya kutaka kukatiza dengepicha lilikua 'ze endi', mnyama 'kariwaindi'
Kwahio tuwaache single mother wafanye wanavyotaka yaani wasikosolewe?kama yanagusa moja kwa moja ila ukiwa busy huwezi hata kupoteza muda kufikiria mambo binafsi ya mtu mwingine ambayo hayana impacts kwako. hawa ni kama wale wanakaa vijiweni mtu akipita na gari wanaanza kumjadili
We ni single female parent sio single mother..... Mbona hauelewi lakini...Tutakoma wallah....sawa tumesikia.
Wewe jamaa na muanzisha uzi ni dugu moya......mtuache na sitakuelewa[emoji1787]We ni single female parent sio single mother..... Mbona hauelewi lakini...
@Jokajeusi nakusalimia kwa jina la mke mwenye vigezo vyako!Kwani Joka Jeusi anasemaje?