Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Nimeona mnawasakama sana walimu, mnawaona kama ni watu maskini lakini nikiangalia kada zingine za halmashauri wanakaa juu ya mawe tu hakuna utofauti wowote wa maisha kati ya walimu na watumishi wengine.
Mwalimu mwenye degree anaanza na D3 ambayo ni 805,000/= na maafsa wengine wa halmashauri, kama ustawi wa jamii, afsa maendeleo, mhasibu,afsa biashara, na wengine wengine wanaanza na D1 ambayo ni 771,000/ sasa hapo nani ana mshahara mdogo?
Kwa hiyo hakuna sababu ya kuwasakama walimu kwamba wana mishahara midogo na kuwaona wao wana maisha magumu, maafsa wote chini ya Tamisemi njaa kali tu.