Kwanini Mnyika huwa anamshambulia Jaji Mwanga na Mahakama kila shauri linapoahirishwa?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.

Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform

Hapo kuna wateja wengi wa Mahakama, kama anamtukana Jaji mbele yao, je watamuheshimu?

Mahakama itunze heshima yake. Hata leo majitu yanagombana ndani ya mahakama kugombea sehemu ya kukaa tena yanajirekodi. Sure! No one takes action against such hooliganism.... Ndio Kisutu hii ya miaka ile iliyokuwa na nidhamu?Ushahidi wa video Hakimu hatoi amri huyo mtu akamatwe?
 
Wakiongelea ofisini watakamatwa,huajuasikia ya Pwani?
 
siatweet tusome, kutafuta umaarufu wa kienyeji
 
Hapo kuna wateja wengi wa Mahakama, kama anamtukana Jaji mbele yao, who watamuheshimu?
Kwa kuwa wako mfukoni mwa mwimili wenye mzizi mkuu.
 
Wakiongelea ofisini watakamatwa,huajuasikia ya Pwani?
Wanapiga kelele Mahakamani, wafanye kama Heche, juzi aliongea akiwa chini ya mti
 
Mahakama yawezekana inadharaulika kutokana na maneno ya mwanaccm Rostam kusema ni za simu moja tu,yawezekana anashuhudia yaliyosemwa na hivyo kut9a ushuhuda kwa watu wengine,kuwakumbusha.
 
Wakisema wakafanyie ofisini kama unavyotaka bado mnawatumia Polisi huko huko ofisini kuwapiga. Wafanyeje sasa?
 
Ofisini na Mahakamani wanafanya yaleyale
 
siatweet tusome, kutafuta umaarufu wa kienyeji
Kweli kabisa, kama kila mwananchi akitoka Mahakamani anasimama katika viunga vya Mahakama, anamtukana Hakimu au Jaji na Mahakama kisha anaondoka, wananchi wakizoea ndio mwanzo wa kudharau taasisi za umma.
 
Tayari hao mahakimu na majaji wanaitukanisha mahakama. Yaani kwa sasa mahakama inadharaulika kwa kuamua kutumika kama mpira wa kufanyia mapenzi.
 
Kweli kabisa, kama kila mwananchi akitoka Mahakamani anasimama katika viunga vya Mahakama, anamtukana Hakimu au Jaji na Mahakama kisha anaondoka, wananchi wakizoea ndio mwanzo wa kudharau taasisi za umma.
Zidharaulike mara ngapi ndio mrudi kwenye utaratibu, misingi na Sheria? Mahakama za haki zilikwenda kuzikwa na jaji Ramdhani kwani ndiye wa mwisho kuitendea mahakama na Sheria haki! R.I.P jaji Ramadhan na waliokutangulia kabla yako.
 
Ngoja huyo chechemela afungwe
 
Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.

Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform

Hapo kuna wateja wengi wa Mahakama, kama anamtukana Jaji mbele yao, je watamuheshimu?

Mahakama itunze heshima yake. Hata leo majitu yanagombana ndani ya mahakama kugombea sehemu ya kukaa tena yanajirekodi. Sure! No one takes action against such hooliganism.... Ndio Kisutu hii ya miaka ile iliyokuwa na nidhamu?Ushahidi wa video Hakimu hatoi amri huyo mtu akamatwe?
Jaji asiyejiheshimu atapewaje heshima??
 
Jaji Mwanga anatumika vibaya kuiangamiza Chadema
 
Huyu nyang'au wa Lumumba tangu jukwaa lifungiwe nae akapotea jumla.

Isijekuwa alikula za uso Oct 29th, huwezi kujua coz ilikua random shooting bila kujali chawa wala mganga wa kienyeji wa sisiemu
 
Ile shooting ilikuwa balaa...nilikuwa Arusha ...yaani Hadi vitoto vya miaka 12 vilipewa shaba...
Wengine walikuwa barabarani wakishangaa...bila kujua wajuba wamepewa go ahead ya kufanya chochote
 
Back
Top Bottom