chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.
Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform
Hapo kuna wateja wengi wa Mahakama, kama anamtukana Jaji mbele yao, je watamuheshimu?
Mahakama itunze heshima yake. Hata leo majitu yanagombana ndani ya mahakama kugombea sehemu ya kukaa tena yanajirekodi. Sure! No one takes action against such hooliganism.... Ndio Kisutu hii ya miaka ile iliyokuwa na nidhamu?Ushahidi wa video Hakimu hatoi amri huyo mtu akamatwe?