Kwa kuwa wako mfukoni mwa mwimili wenye mzizi mkuu.Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.
Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform
Hapo kuna wateja wengi wa Mahakama, kama anamtukana Jaji mbele yao, who watamuheshimu?
Mahakama yawezekana inadharaulika kutokana na maneno ya mwanaccm Rostam kusema ni za simu moja tu,yawezekana anashuhudia yaliyosemwa na hivyo kut9a ushuhuda kwa watu wengine,kuwakumbusha.Wanapiga kelele Mahakamani, wafanye kama Heche, juzi aliongea akiwa chini ya mti
Kweli kabisa, kama kila mwananchi akitoka Mahakamani anasimama katika viunga vya Mahakama, anamtukana Hakimu au Jaji na Mahakama kisha anaondoka, wananchi wakizoea ndio mwanzo wa kudharau taasisi za umma.siatweet tusome, kutafuta umaarufu wa kienyeji
Tayari hao mahakimu na majaji wanaitukanisha mahakama. Yaani kwa sasa mahakama inadharaulika kwa kuamua kutumika kama mpira wa kufanyia mapenzi.Kweli kabisa, kama kila mwananchi akitoka Mahakamani anasimama katika viunga vya Mahakama, anamtukana Hakimu au Jaji na Mahakama kisha anaondoka, wananchi wakizoea ndio mwanzo wa kudharau taasisi za umma.
Zidharaulike mara ngapi ndio mrudi kwenye utaratibu, misingi na Sheria? Mahakama za haki zilikwenda kuzikwa na jaji Ramdhani kwani ndiye wa mwisho kuitendea mahakama na Sheria haki! R.I.P jaji Ramadhan na waliokutangulia kabla yako.Kweli kabisa, kama kila mwananchi akitoka Mahakamani anasimama katika viunga vya Mahakama, anamtukana Hakimu au Jaji na Mahakama kisha anaondoka, wananchi wakizoea ndio mwanzo wa kudharau taasisi za umma.
Ngoja huyo chechemela afungweZidharaulike mara ngapi ndio mrudi kwenye utaratibu, misingi na Sheria? Mahakama za haki zilikwenda kuzikwa na jaji Ramdhani kwani ndiye wa mwisho kuitendea mahakama na Sheria haki! R.I.P jaji Ramadhan na waliokutangulia kabla yako.
Utafungwa wewe kapuku ambaye upo kaputi kichwani.Ngoja huyo chechemela afungwe
Jaji asiyejiheshimu atapewaje heshima??Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.
Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform
Hapo kuna wateja wengi wa Mahakama, kama anamtukana Jaji mbele yao, je watamuheshimu?
Mahakama itunze heshima yake. Hata leo majitu yanagombana ndani ya mahakama kugombea sehemu ya kukaa tena yanajirekodi. Sure! No one takes action against such hooliganism.... Ndio Kisutu hii ya miaka ile iliyokuwa na nidhamu?Ushahidi wa video Hakimu hatoi amri huyo mtu akamatwe?
Jaji Mwanga anatumika vibaya kuiangamiza ChademaKwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.
Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform
Hapo kuna wateja wengi wa Mahakama, kama anamtukana Jaji mbele yao, je watamuheshimu?
Mahakama itunze heshima yake. Hata leo majitu yanagombana ndani ya mahakama kugombea sehemu ya kukaa tena yanajirekodi. Sure! No one takes action against such hooliganism.... Ndio Kisutu hii ya miaka ile iliyokuwa na nidhamu?Ushahidi wa video Hakimu hatoi amri huyo mtu akamatwe?
Huyu nyang'au wa Lumumba tangu jukwaa lifungiwe nae akapotea jumla.
Ile shooting ilikuwa balaa...nilikuwa Arusha ...yaani Hadi vitoto vya miaka 12 vilipewa shaba...Isijekuwa alikula za uso Oct 29th, huwezi kujua coz ilikua random shooting bila kujali chawa wala mganga wa kienyeji wa sisiemu
Yawezekana , ila tangu jukwaa lifungwe September 6 ndio alipotea.Isijekuwa alikula za uso Oct 29th, huwezi kujua coz ilikua random shooting bila kujali chawa wala mganga wa kienyeji wa sisiemu