Kwanini Mo Anapata Hasara Simba, Yanga wanapata Faida?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nimetazama report ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga SC kwa msimu uliopita.

Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23 .

Mapato Billion 17.8

Matumizi ni billion 17.3

BAKIO ni 581.

Ndugu zetu Simba wanakwama wapi katika kupiga hatua kama sisi.

Upi ushauri unao wafaa ili waweze kufika level zetu kifedha.?
 
Bado iko kienyeji sana hivyo sio hesabu sahihi hizo.
Huwezi kutaja Mapato kutoa matumizi na kusema kilichobaki ni faida.
Madeni jee? Tunaambiwa wachezaji wa Yanga Princess hadi leo wanadai posho zao na hata nauli baada ya kumaliza mikataba yao na msimu kufungwa tokea May 17 hadi leo wanasota kiasi cha kutaka kuandamana. Bado utasema wana faida?
Mkutano mkuu wa club kubwa kama Yanga unatoa hesabu very shallow kama hivyo?
 
Hata engineer Hersi mwaka jana tu alisema hawapati faida. Kwa hiyo subiri ripoti ya Simba, utasikia wamepata faida ya 600 million
 
Kitu muhimu angalau uwazi wa mapato na matumizi tumeuona, ni mwanzo mzuri.

Hii itawafunga mdomo wote wanaojifanya kupata hasara wakati makampuni yao yanafaidika pakubwa na brand.
 
Attachments

  • FB_IMG_1687611530512.jpg
    FB_IMG_1687611530512.jpg
    62 KB · Views: 3
Hata engineer Hersi mwaka jana tu alisema hawapati faida. Kwa hiyo subiri ripoti ya Simba, utasikia wamepata faida ya 600 million
Msimu wa mwaka jana na msimu huu ni vitu 2 tofauti.

Tatizo la kupika taarifa liko simba.

“Mimi nimewekeza bilioni 20, lakini kabla sijawekeza bilioni 20, niliishatumia bilioni 25…halafu baadaye nimekuja kuwekeza bilioni 20, imekuwa…85!” Na Kuna Hii: “20 bilioni brother…tusifanye masikhara…unajua 20 bilioni brother unaweza kununua benki…” MO DEWJI
 
Katika hayo mapato ya 17bn kuna 4.8bn mkopo ambao hauna maelezo pia ni sehemu ya hayo mapato, interesting zaidi ni kuwa GSM ametoa 330m tu kama faida ya jezi wakati Vunjabei amewapa Simba 1bn. Yanga na Hersi kuna uhuni mwingi, muda utasema ukweli.
 
Msimu wa mwaka jana na msimu huu ni vitu 2 tofauti.

Tatizo la kupika taarifa liko simba.

“Mimi nimewekeza bilioni 20, lakini kabla sijawekeza bilioni 20, niliishatumia bilioni 25…halafu baadaye nimekuja kuwekeza bilioni 20, imekuwa…85!” Na Kuna Hii: “20 bilioni brother…tusifanye masikhara…unajua 20 bilioni brother unaweza kununua benki…” MO DEWJI
Sasa subiri ripoti
 
Hersi mwenyewe aliwahi kusema Yanga inajiemdesha kwa hasara.

Yani Yanga ni kama ATCL

Sasa ngoja tuangalie hiyo 581M ambayo mnasema imebakia kama faida.

Safari ya kutoka hapa kwenda Algeria hamkutumia pesa yenu, ilitolewa ndege ya Raisi.

Piga hesabu go and return inge cost shingapi.

Baada ya hapo mlivyokosa kombe na kurudi na vikamba, mkapewa tena ndege ya bure kwenda mbeya.

Hapo napo utapiga hesabu go and return estimation cost si chini around ya around 50M

Baada ya hapo kwenye hilo salio kumbuka bado kuna madeni ya wachezaji walikuwa wanaidai Club tena sio mishahara tu hadi ile signing fee.

Yanga ikipitia mchakato wa kulipa mishahara wachezaji wake na ingetumia pesa yake kulipia usafiri wa ndege basi leo ingekuwa na madeni somewhere.
 
Choko linalowaza!
 
Kitu muhimu angalau uwazi wa mapato na matumizi tumeuona, ni mwanzo mzuri.

Hii itawafunga mdomo wote wanaojifanya kupata hasara wakati makampuni yao yanafaidika pakubwa na brand.
Dr of PhD, hivi MO alisema Simba ndio inapata hasara au yeye ndio anapata hasara katika uwekezaji wake Simba?
Nadhani ukilichukua hilo na kulipima ndio utamuelewa MO vizuri.
MO kama mwekezaji na Simba Sports Club ni two different entities
 
Yanga kama taasisi haiwezi kukosa madeni (accruals) kama vile TRA, Land rents nk.
Ndio maana nasema kuna walakini, huo ni mfumo wa hesabu za genge la mama ntilie yaani unahesabu umepata ngapi umetumia ngapi baki ni faida.
Accruals are earned revenues and incurred expenses that have yet to be received or paid.

So why do you assume that the club has only incurred expenses which are yet to be paid but doesnt have earned revenue that are yet to be reflected into the clubs' accounts?
 
Back
Top Bottom