Kwanini Mo Anapata Hasara Simba, Yanga wanapata Faida?

Ok, kama hilo umelielewa basi they are supposed to table completely financial audited reports badala ya kusema mapato ni X matumizi ni Y tumabaki na faida Z.
Jee hiyo Z ni gross profit au net profit?
Anyway, bado ni hatua nzuri sina ubishi nayo. Tatizo liko kwenye kuhoji wengine wasemapo wamepata hasara.
Ila kwa vile Yanga ni club ya umma natumaini watakwenda extra mile na kuweka hadharani statements of accounts
 
Dr of PhD, hivi MO alisema Simba ndio inapata hasara au yeye ndio anapata hasara katika uwekezaji wake Simba?
Nadhani ukilichukua hilo na kulipima ndio utamuelewa MO vizuri.
MO kama mwekezaji na Simba Sports Club ni two different entities

Wazee wa CPA kazi kwenu pambaneni hapo.😀😀
 
Simba na mwekezaji wake wana ujanja ujanja mwingi. Mmoja akimuuzia mwenzake cheni feki ya dhahabu, mwingine anainunua kwa hela feki. Yaani wamekutana wote ni janja janja.
 
Katika hayo mapato ya 17bn kuna 4.8bn mkopo ambao hauna maelezo pia ni sehemu ya hayo mapato, interesting zaidi ni kuwa GSM ametoa 330m tu kama faida ya jezi wakati Vunjabei amewapa Simba 1bn. Yanga na Hersi kuna uhuni mwingi, muda utasema ukweli.
Una uhakika vunja bei ametoa hiyo pesa
 
Yanga kama taasisi haiwezi kukosa madeni (accruals) kama vile TRA, Land rents nk.
Ndio maana nasema kuna walakini, huo ni mfumo wa hesabu za genge la mama ntilie yaani unahesabu umepata ngapi umetumia ngapi baki ni faida.
Hiyo Ni simple analysis wametoa ukumbuke mashabiki na wa wanachama sio wajuzi wa financial report but naamini ukienda in detail financial statement itakuwa imeonyesha vitu vyote hivyo,hivi unaona ni sahihi hapo ukawaambia Wanachama Mambo ya prepaid rent or accrual expenditure
 
Wenye akili uko ni wawili tu! Sheets za mapato zinaonyesha wana mkopo wa b4!! Halafu kwenye matumizi wanaonyesha wamepata faida!! Kikao cha manyani hawana tofauti na ttcl kutoa gawio kwa serikali ya CCM.
 
Hayo madai ya Yanga Princes ni ya mitandaoni ni wapi umeyaona official?
 
Kitu muhimu angalau uwazi wa mapato na matumizi tumeuona, ni mwanzo mzuri.

Hii itawafunga mdomo wote wanaojifanya kupata hasara wakati makampuni yao yanafaidika pakubwa na brand.
Nimewasifu Yanga kwa uwazi wao.
Sijui kwanini Simba huwa wanaficha mambo yao
 
Kwa hesabu hizi za yanga utauziwa nyumba na bank😂😂😂
 
Yanga kama taasisi haiwezi kukosa madeni (accruals) kama vile TRA, Land rents nk.
Ndio maana nasema kuna walakini, huo ni mfumo wa hesabu za genge la mama ntilie yaani unahesabu umepata ngapi umetumia ngapi baki ni faida.
Madeni yote yameorodheshwa ndani ya matumizi acha ujuaji wa kipuuzi
 
Walikuandikia barua official kwamba wanadai? Au unatuletea habari zenu za udaku udaku za kwenye mitandao uko? Leta ushahidi wako hapa unaoonyesha yanga princes wanadai!
 
Walikuandikia barua official kwamba wanadai? Au unatuletea habari zenu za udaku udaku za kwenye mitandao uko? Leta ushahidi wako hapa unaoonyesha yanga princes wanadai!
Nyinyi uto kocha Luc mmemlipa? Uto sio ya kuiwekea dhamana kuhusu madeni haijaanza Leo kudaiwa.
 
Hizo assumptions hazipo.

Huwezi kusema Yanga ina mademi ya TRA ikiwa huna vithibitisho.

Report iliyotolewa imejitosheleza, tusipinge pinge hovyo hovyo kwqa ababu ya. Usimba na Uyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…