Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Leta taarifa kwa hiyo unataka nikuamin kwa maneno matupu masuala ya mauzo ya jezi yanatoka wapiNikikupa hiyo taarifa rasmi itabadili nini? Mbona hapa tunajadili taarifa rasmi lakini bado mnasema "tuache ubishi". Wewe unaamini Yanga inastahili kupata mapato ya 300M kwa mauzo ya jezi ya msimu mzima? Hiyo ni taarifa rasmi.
Ukija kuelewa utajishangaa sana kwamba kwanini unabisha.Wewe bwana, utakuwa comedian. Mbona jambo rahisi unataka kulifanya gumu kwa maelezo na mifano mingi isiyoendana na tunachozungumza hapa?
Kama umeweza kupata Balance Sheet ya Starbucks, haushindwi kupata Income Statement ya Starbucks au ya kampuni nyingine yoyote ile duniani ambayo inaonyesha kuwa Mkopo umewekwa kwnye list ya Mapato kama walivyofanya Yanga. Nimekwambia ukiweza kuipata hiyo statement tunafunga mjadala.
Hakuna anayezungumzia mshahara hapa, usikariri mambo ndugu yangu.
Kweli, Halafu hapa ishu wala sio ushabiki. Kama ni ushabiki mm ni shabiki wa SSC.Ukishaona mtu anaanza kukimbilia kwenye typing error ujue hapo hamna kitu sababu hoja dhaifu wakati mnaongea mambo muhimu
Hahaha, we jamaa jau. Hakuna ambacho unakisema sikijui ila unaongelea mambo tofauti na kutoa maelezo mengi halafu unakwepa jambo tunalozungumza.Ukija kuelewa utajishangaa sana. Income statement hata nikikuwekea utaona matumizi ila hutajua kama yamelipwa au la.
Hahahah. SawaaLeta taarifa kwa hiyo unataka nikuamin kwa maneno matupu masuala ya mauzo ya jezi yanatoka wapi
Point ni kwamba wewe ni muongo ndo maana umeshindwa kuleta uthibitisho
na hilo swala la jezi million 300 ni kweli yanga wanaweza wakawa wanaibiwa ila nimkataba walisaini ukiisha wakisain mwingine wataongeza dau
Umehoji iwapo Yanga imeyatambua madeni ambayo hayajalipwa baada ya kutangaza faida, nikakuambia kama hesabu zao zinafata accrual principle wapo sawa.Hahaha, we jamaa jau. Hakuna ambacho unakisema sikijui ila unaongelea mambo tofauti na kutoa maelezo mengi halafu unakwepa jambo tunalozungumza.
Yaani makampuni yote duniani ikiwemo ya Tanzania umeshindwa kuniletea income statement hata moja inayoonyesha mkopo umejumuishwa kama PATO katika mahesabu ya faida na umekiri mwenyewe Balance Sheet haitumiki kufanya mahesabu ya faida ila ndiyo hiyo umeileta.Umehoji iwapo Yanga imeyatambua madeni ambayo hayajalipwa baada ya kutangaza faida, nikakuambia kama hesabu zao zinafata accrual principle wapo sawa.
Mpaka Hapa tunakubaliana au la?
Dah...basi kumbe ni sawa na kupiga danadana upepo,Sasa timu kubwa kama hiyo hicho kiasi kilichobaki kitasaidia nini?Wazee wenye huu utopolo MMEPIGWA maana hapo Jamaa inaonekana alikuja bila MTAJI.Nimetazama report ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga SC kwa msimu uliopita.
Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23 .
Mapato Billion 17.8
Matumizi ni billion 17.3
BAKIO ni 581.
Ndugu zetu Simba wanakwama wapi katika kupiga hatua kama sisi.
Upi ushauri unao wafaa ili waweze kufika level zetu kifedha.?
mkopo umejumuishwa kama PATO katika mahesabu ya faida.
Kwani ule mkopo uliotajwa jana ni wa mauzo kwa mkopo au mkopo wa benki? Yaani hata hilo haujui tofauti zake?Kwani credit sales(mauzo kwa mkopo) unadhani hayapo kwenye mahesabu ya faida?
Mapato na matumizi yaliyo katika mkopo yote yanatambuliwa katika faida na hasara kisha yanaenda kwenye balance sheet kama asset au liabilities. WEWE HOJA YAKO NI IPI?
Haya hiyo hapo income statement yenye mapato na matumizi ambayo ni mikopo.
View attachment 2668256
Boss nimekuuliza hoja yako siyo kupinga Yanga kutambua faida sababu wana mikopo ambayo ni gharama za kuendesha club na hawajalipa?Kwani ule mkopo uliotajwa jana ni wa mauzo kwa mkopo au mkopo wa benki? Yaani hata hilo haujui tofauti zake?
Leo umeniangusha sana aisee, haufananii haya unayoandika hapa leo.
Niquote wapi nimesema hivyo.Boss nimekuuliza hoja yako siyo kupinga Yanga kutambua faida sababu wana mikopo ambayo ni gharama za kuendesha club na hawajalipa?
Kama hiyo ndo hoja yako hayo yoote niliyokueleza ni sahihi na una la kujifunza, kama sio hoja yako sema hoja yako ni ipi maana nina wasiwasi huelewi tena unachopinga.
Unajua vilabu vya ulaya vina-mizigo ya madeni makubwa sana na still wanatangaza faida kama ipo ajabu ni nin Yanga kuwa na huo mkopo, yaan Yanga kuwa na huo mkopo ni habari kubwa kwakoNiquote wapi nimesema hivyo.
Kiufupi ni hivi, kama umejitoa ufahamu utajua mwenyewe. Mkopo hauendi kwenye mahesabu ya faida/hasara whether umelipwa au bado. Jambo pekee linalohusiana na mkopo linalokwenda kwenye mahesabu ya faida/hasara ni gharama za kufinance huo mkopo. Yanga wamejumuisha pesa ya mkopo kama PATO na wamelitumia kutuambia wamepata faida ya 500M, hilo ni kosa kihasibu.
Pia nimefanya assumption kubwa sana ya kusema labda wamepata mkopo usio na riba, otherwise kama kuna gharama za kupata na kufinance huo mkopo (mfano riba) hawajaorodhesha hizo gharama katika matumizi yao na hilo pia ni kosa kihasibu. Kwenye full disclosure angetakiwa aligusie hilo inakuwaje huo mkopo hauna riba. Mkopo wa 4B riba yake hauwezi kuiweka tu kwenye "miscellaneous expenses".
Duh. Kwa hiyo katika maelezo yangu, hilo ndiyo umetoka nalo, kazi kweli kweli.Unajua vilabu vya ulaya vina-mizigo ya madeni makubwa sana na still wanatangaza faida kama ipo ajabu ni nin Yanga kuwa na huo mkopo, yaan Yanga kuwa na huo mkopo ni habari kubwa kwako
Furaha yako ni Yanga wametangaza wamepata hasara ili uprove point ya dewji, mim ni mwafrika lakin akili zetu ni za ajabu raha ya mwafrika yeye kama amelala njaa atafurahi maradufu kama akisia na jirani yake amelala njaa
Naona umeedit post yako na kutoa maelezo zaidi. Wewe unadhani Yanga waliporipoti jana kuwa walipata mkopo wa 4B na kuorodhesha huo mkopo kama PATO, unadhani yale ni mauzo ya jezi kwa mkopo? Maana Yanga hawako kwenye biashara ya kuuza "goods", na hata mauzo kwa mkopo hayawezi kuripotiwa kama MKOPO kama walivyofanya.Kwani credit sales(mauzo kwa mkopo) unadhani hayapo kwenye mahesabu ya faida?
Mapato na matumizi yaliyo katika mkopo yote yanatambuliwa katika faida na hasara kisha yanaenda kwenye balance sheet kama asset au liabilities. WEWE HOJA YAKO NI IPI?
Haya hiyo hapo income statement yenye mapato na matumizi ambayo ni mikopo.
View attachment 2668256
Mkuu, embu kubali kuelewa. Mapato na matumizi yakishakuwa ni mkopo haimaanishi kuwa hayatambuliwi kwenye income statement. Yanatambuliwa. Ww hoja yako ni nn? Embu sema unachomaanisha ni nini ukisema huu ni mkopo. Maana mkopo unaweza usitokane na mapato na matumizi mfano Loan from financial institutions kama CRDB huo hauwezi tokea kwenye income statement zaidi ya gharama za huo mkopo.
Halafu sijui kwanini natumia nguvu kukuelewesha. Labda ni vile ni mwanasimba otherwise huenda nisingetumia hii nguvu.
Embu tuishie hapa. TUFANYE WEWE UPO SAHIHI KWENYE HILO UNALOSEMA.
Lini GSM amekuwa mwekezaji Yanga?Unalinganisha Yanga na Mo !!
Au unapaswa kuilinganisha Yanga na Simba,, Mo na GSM.
Kilichosomwa na Yanga leo Ni taarifa za klabu ya Yanga si taarifa ya mwekezaji.
Kuna Simba Kama timu halafu Kuna Mo km mwekezaji na hesabu zake.
Hiyo milioni 500 si hela za GSM. Ni hela za timu. GSM anaweza kupata hasara lkn Yanga ikatengeneza faida.
Mwekezaji akipata hasara siyo kwamba timu Ndiyo imepata hasara. Hapana.
Mo ni tapeli aliiacha Africa lyon sababu ya hasara ila mbona anangangania hasara ya Simba na kutoka kagomaHalafu watu mna ujinga mwingi Sana halafu hata mkielimishwa mnakaza mafuvu.
Uliona wapi bepari anayewekeza kwa hasara ? Au Uliona wapi bepari anapata hasara halafu akaendelea kuweka hela zake ktk hiyo biashara?
Bepari km Mo hafanyi biashara ya hasara. Ingekua hivyo angekuw alishaachia timu kitambo. Unapata hasara halafu miaka kumi upo umeng'ang'ania.
Haya.Naona umeedit post yako na kutoa maelezo zaidi. Wewe unadhani Yanga waliporipoti jana kuwa walipata mkopo wa 4B na kuorodhesha huo mkopo kama PATO, unadhani yale ni mauzo ya jezi kwa mkopo? Maana Yanga hawako kwenye biashara ya kuuza "goods", na hata mauzo kwa mkopo hayawezi kuripotiwa kama MKOPO kama walivyofanya.
Embu pitia video ya mkutano wa jana, nenda sehemu ya mapato na matumizi uangalie na usikilize, maana inaonyesha wewe ndiyo haujui hata tunajadili nini.