kusomea ujinga si nako ni kusoma ?Unajua kusoma? au ndo nyie mnaenda shule kusomea ujinga
Iyo ada bora wazee wako wangennua ng'ombekusomea ujinga si nako ni kusoma ?
Arawa Mo yupo kibiznez zaidi. Unadhani ile bil 20 itarudije hata kama hajaitoa kiukweli?Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!
Jinsi unavyoandika inawezekana hata Masters degree hunaIyo ada bora wazee wako wangennua ng'ombe
Kanji bai wa yanga alifanya hivyo mara ngapi?Bahili huyooo
Baada ya kufanya hivyo Manji mlifika wapi?Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!
Kanji bai wa yanga alifanya hivyo mara ngapi?Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!
Njoo uchukue tiketi ya platinum mkuu.umefuatlia historia ya Gatibu, huyo wa uto, yeye nae fedha ni za marehemu Baba yake, Manji pia ni utajiri toka kwa Baba yake.
Wenzetu Weupe siyo kama wewe, wewe hata utakachokula kesho hujui hela utapataje, kama siyo kwa shemeji yako, ila nguvu ya kumnanga mtu ambae kwako wewe ni kitone yeye ni Bahari.
Kama ni rahisi nawe ridhi mali za babayako utambe.
Watu kama wewe ndiyo, unamuona mtu na ndinga yake, unaanza maneno gari ya mkopo ile kama ni rahisi gari ya mkopo na kopa basi.
Tafuta hela ya kiingilio, acha ujanja wa kutaka kuingia bureMo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Inaonekana utopolo mnapenda Sana vya bure.Endeleeni , ipo siku vitawatokea puani.WΓ hindi ni bahiri sana
Nakwambia jamaa ni bahili anajinyima hata kula, wewe mwenyewe humuoni hana hata nyamaKanji bai wa yanga alifanya hivyo mara ngapi?
Tunajua mnataka mnufaike na myatakayo mna lolote.
Ukomo wa utopolo kufikiri ndo umekomea hapo.Unadhani aandike nini zaidi ya hapo?Logic ya kuiga ni nn [emoji848][emoji848][emoji848]
Au We ndo yule mbunge wa Iringa anayelilia kuhongwa? Mbona mwandiko ni kama wake.Wadada wa mjini wanasema hata kuhonga hatoi zaidi ya laki moja.
ππππAu We ndo yule mbunge wa Iringa anayelilia kuhongwa? Mbona mwandiko ni kama wake.
Eti bahili, wewe umeichangia nini simba mpaka sasa. Kazi kutolea macho mali za wengine. Wewe umezuiwa kutafuta fedha kisha ukaingiza mashabiki bure?Jamaa bahili sana uyo, mchumi mno hawezi toa kitonga chochote
Kwanza uwanja wa bunju umefikia hatua gani?
Sasa faida ya kucheza mechi uwanja wa nyumbani ipo wapi kama watu wanazomea timu ya Simba badala ya kuzomea timu ya wageni.Wewe unawaogopa Utopolo?
Unamuongelea Manji aliye bambikiwa kesi na magufuli?Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!
Hiyo biashara ya kiutopolo hatuitaki Simba. Kila siku tupo kimataifa, tutaingiza mara ngapi watu bure?Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!