Kwanini Mo Dewji asiwaingize bure uwanjani mashabiki wa Simba kama alivyofanya Manji?

Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu

Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.

Simple tu.

Pasaka njema!
Arawa Mo yupo kibiznez zaidi. Unadhani ile bil 20 itarudije hata kama hajaitoa kiukweli?
 
Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu

Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.

Simple tu.

Pasaka njema!
Baada ya kufanya hivyo Manji mlifika wapi?
 
Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu

Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.

Simple tu.

Pasaka njema!
Kanji bai wa yanga alifanya hivyo mara ngapi?
Tunajua mnataka mnufaike na myatakayo mna lolote.
 
umefuatlia historia ya Gatibu, huyo wa uto, yeye nae fedha ni za marehemu Baba yake, Manji pia ni utajiri toka kwa Baba yake.

Wenzetu Weupe siyo kama wewe, wewe hata utakachokula kesho hujui hela utapataje, kama siyo kwa shemeji yako, ila nguvu ya kumnanga mtu ambae kwako wewe ni kitone yeye ni Bahari.

Kama ni rahisi nawe ridhi mali za babayako utambe.
Watu kama wewe ndiyo, unamuona mtu na ndinga yake, unaanza maneno gari ya mkopo ile kama ni rahisi gari ya mkopo na kopa basi.
Njoo uchukue tiketi ya platinum mkuu.
 
Kanji bai wa yanga alifanya hivyo mara ngapi?
Tunajua mnataka mnufaike na myatakayo mna lolote.
Nakwambia jamaa ni bahili anajinyima hata kula, wewe mwenyewe humuoni hana hata nyama
 
Jamaa bahili sana uyo, mchumi mno hawezi toa kitonga chochote

Kwanza uwanja wa bunju umefikia hatua gani?
Eti bahili, wewe umeichangia nini simba mpaka sasa. Kazi kutolea macho mali za wengine. Wewe umezuiwa kutafuta fedha kisha ukaingiza mashabiki bure?
 
Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu

Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.

Simple tu.

Pasaka njema!
Unamuongelea Manji aliye bambikiwa kesi na magufuli?
 
Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu

Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.

Simple tu.

Pasaka njema!
Hiyo biashara ya kiutopolo hatuitaki Simba. Kila siku tupo kimataifa, tutaingiza mara ngapi watu bure?
 
Back
Top Bottom