Kwanini Mo 'hatamuweza'Manara

Wale ndugu zetu wameishi kwa tabu sana miaka hii mitano.

Furaha yao ni kuona tunarudi kwenye level yao.
Nasikia baada ya kunyeshwa Banda na Mwihilu baadhi ya wanachama hawataki GSM aendelee wanasema jamaa anawapiga na wanahoji kama hizo fedha za Azam zipo kufanya nini mbona na Manji katimua zake!!!
 
Mo na Barbara wakitaka kujichanganya ni kuanza vita ya maneno na Manara, watachafuka wote halafu Manara wakati huo huo ndio anafurahia🤣
 
Yanga imetengeneza faida kiasi gani mkuu
 
Unaweza kusambaza sauti inayokuzalilisha?
Pia katamka mwenyewe kuwa ataisambaza.
Mkuu endelea kuamini unachokiamini,hatuwezi kufikia muafaka wa nini hasa kilichotokea,Haji na Babra wanajua lililotokea,
Case closed from my side.
 
Na kwa kuongezea tu sikuzote passion ndio hupelekea ubunifu zaidi na progressive output! Ukikipenda kitu utakifanya kwa ubunifu wa hali ya juu against all the odds na sikuzote focus huwa kwenye best impact to the audience!

Proffessionalism has most to do with principles ila output yake iko limited inafikia mahali you will need somebody with passion and heart! Proffessionalism haiko connected na passion at all times thats why solution zake to problems ziko limited.

Mpira its a sport na iko connected sana na entertainment ya watu! We need a cheerleader like Manara to feel alive and enjoy the sport. Hatuhitaji mtu ambaye ataendesha mambo kama Lawyer sababu eti ni professional. Our teams weren’t built that way.

Ni swala la muda tu tutaona pengo la Haji Manara hasa morale ya timu iki drop!
 
Sawa, MO siku mbili hizi anatangaza kuachana na Simba, huyo Albino hawe yeye Sasa mfadhili wa Simba yeye na ukoo wake, si mnasema MO anajinufaisha yeye club hainufaiki,Sasa anaondoka hili Simba hifanye vizuri zaidi
Hahaha ila watu bwana, yani mtu hatakiwi kusema kwakua MO ataondoka?

Hayo mafanikio ya muda mfupi ndio yaliyowapa upofu, siku zinakuja tutatafutana huko mbele.
 

Na hawa mashabiki wa Simba wa sasa ukiulizae hiko Cheo cha Manara unamjua mtu aliekuwepo kabla ya Manara wala hawamkumbuki..
Yule mtangazaji wa channel ten
Mimi mwenyewe nimemsahau jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…