AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Nilitegemea kuwa Sydney angepewa nafasi ya kusoma brief bio ya Ally Sykes leo lakini nashangaa kuwa hakuonekana japo ndiye aliyekuwa pewa nafasi na familia pamoja na Sykes mwenyewe kuandika official Biography yake.
InshaAllah natumai wana THE ABDULWAHID SYKES FOUNDATION pamoja na SAIGON watamfanyia Hitma pamoja na Symposium ya LIFE &TIMES OF ALLY SKYKES na records zingewekwa for future references
PART 7 IS MISSING
InshaAllah natumai wana THE ABDULWAHID SYKES FOUNDATION pamoja na SAIGON watamfanyia Hitma pamoja na Symposium ya LIFE &TIMES OF ALLY SKYKES na records zingewekwa for future references
PART 7 IS MISSING
Maganga...
Kwenye msiba wa Ally Sykes niliombwa na watoto wake nizungumze kwa ufupi
maisha yake na nilifanya hivyo.
Hapo hapo tukiwa msibani kabla ya mazishi nilifanyiwa mahojiano na BBC na
gazeti la Citizen.
Ingependeza Wanamajlis na hili hulisema mara nyingi hapa kuwa ni busara
mtu ukufanya utafiti kidogo kabla ya kuandika.
Unaweza kusoma hapa chini baadhi ya yale niliyoeleza pale msibani katika wasifu
wake:
Mohamed Said: Ally Kleist Sykes 1926 – 2013 Mzalendo Muasisi wa TANU Aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1
Last edited by a moderator: