Kwanini Mohammed Said hakupewa nafasi kwenye msiba wa Ally Sykes?

Kwanini Mohammed Said hakupewa nafasi kwenye msiba wa Ally Sykes?

Maganga...
Kwenye msiba wa Ally Sykes niliombwa na watoto wake nizungumze kwa ufupi
maisha yake na nilifanya hivyo.

Hapo hapo tukiwa msibani kabla ya mazishi nilifanyiwa mahojiano na BBC na
gazeti la Citizen.

Ingependeza Wanamajlis na hili hulisema mara nyingi hapa kuwa ni busara
mtu ukufanya utafiti kidogo kabla ya kuandika.

Unaweza kusoma hapa chini baadhi ya yale niliyoeleza pale msibani katika wasifu
wake:
Mohamed Said: Ally Kleist Sykes 1926 – 2013 Mzalendo Muasisi wa TANU Aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1

Shukran kwa kutufahamisha hilo
 
Back
Top Bottom