Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Sooth,Katika jamii ya kiislam, wewe kama sheikh Ponda mna influence kubwa sana. Sasa sisi wengine tunashauri hiyo influence inaweza ikatumika kwa mafanikio ya wengi na kutoa suluhisho la kudumu la kile mnacholilia.
Amina MkuuKinyungu,
Hizi barua siwezi kueleza, ''content'' ingawa marehemu Ally Sykes alitaka
nieleze katika kitabu cha Abdul Sykes nini Marealle amesema kuhusu watu
fulani.
Lakini leo nikiangalia nyuma yale ambayo Chief Marealle alimuonya rafiki
yake ndiyo yaliyokuja kumfika Ally Sykes na kaka yake baada ya uhuru.
Tosheka na haya.
Can you make this less cryptic?Sooth,
Neno langu halivuki kizingiti cha mlango wangu.
Hahaahah, MS unaanza ushari. Kwan kusema una hoja uchwara ni tusi? Si maana yake hoja zako hazina mashiko? Matusi yanatuondoa kwenye mjadala, hata mimi siyapendi na naamini sijakutusi.Sooth,
Mbona sasa unakuja na matusi?
Ikiwa huwezi kustahamili ''contrary views,'' basi na tusitishe
huu mnakasha.
Hapana sababu ya kutukanana.
Jeepee007,Hmm,hii mada tamu sana
.
Sooth una supporters wengi sana kwnye hili ila bhas tu,wengi wao hawapendagi ligi.
Zama hizi kuwazia udini hmm,interesting'
Nakuunga ulposema huyo mzee angetumia influence yake kwny mambo ya msingi ingekua poa sana.
Sooth,Hahaahah, MS unaanza ushari. Kwan kusema una hoja uchwara ni tusi? Si maana yake hoja zako hazina mashiko? Matusi yanatuondoa kwenye mjadala, hata mimi siyapendi na naamini sijakutusi.
Sooth,Can you make this less cryptic?
Muddyb,Sooth neno, "stupid," ni matusi. Haifai watu kutukanana. Ungeweza kiungwana tu kutaka maelezo na sababu ya mimi.kushukuru.
Ahsante mzee wangu. Naona unaendeleza dawa kwa vijana wasiojua ukweli. Haya, labda uwaulize historia ya Tanganyika iko wapi? Ambayo inataja wanaharakati waliopigani uhuru ukimwacha kiongozi mkuu aliyekuja baadaye (Nyerere).
Ni jukumu letu sote kuhakikisha hizi dhana za kusema uhuru uliletwa na mtu mmoja..Muddyb,
Ahsante sana.
Umenifurahisha kupita kiasi.
Muddyb/Wanamajlis,Ni jukumu letu sote kuhakikisha hizi dhana za kusema uhuru uliletwa na mtu mmoja..
= part 7
= part 8
Brayzeking na Wanamajlis,Vichawi dot com.
Muddyb/Wanamajlis,
Abbas Mzee alituwekea DVD za mahadhara wangu Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
lakini no. 7 na 8 hazikuweko.
Muddyb katuwekea hizo DVD mbili na ndiyo hizo hapo juu.
Namshukuru sana.
Inawezekana kweli wakakosa cha kueleza, kama kweli walishiriki kwenye hizo harakati?Bwai,
Unamhoji mtu aliyekuwa na taarifa huwezi kufanya mahojiano na mtu
ambae hana cha kueleza.
Ukishasema kuna barua, kama ni muwazi, una wajibu wa kuelezea yaliyomo katika barua hiyo, hususan kama barua ni ya magwiji, inahusu makubwa na ulitakiwa kusema hayo na watu unaowaheshimu waliotangulia.Kinyungu,
Hizi barua siwezi kueleza, ''content'' ingawa marehemu Ally Sykes alitaka
nieleze katika kitabu cha Abdul Sykes nini Marealle amesema kuhusu watu
fulani.
Lakini leo nikiangalia nyuma yale ambayo Chief Marealle alimuonya rafiki
yake ndiyo yaliyokuja kumfika Ally Sykes na kaka yake baada ya uhuru.
Tosheka na haya.
Ukishasema kuna barua, kama ni muwazi, una wajibu wa kuelezea yaliyomo katika barua hiyo, hususan kama barua ni ya magwiji, inahusu makubwa na ulitakiwa kusema hayo na watu unaowaheshimu waliotangulia.
Usiposema, utakuwa umewakosea heshima.
Pia, utakuwa unatukosea heshima uliotuambia kuna barua halafu hutaki kutuambia imesemaje. Bora usingetuambia kabisa.
Pia, kuna wengine watakuona mzushi tu, kwa sababu kila mtu anaweza kujifaragua "nimepokea barua kutoka kwa Papa Francis wa Wakatoliki leo, jana nilipokea ya Obama, sina hata muda wa kuzijibu".
Kila mzushi anaweza kusema hivyo. Ili ujitenganishe na wazushi hawa, ama usitaje kaabisa kitu ambacho hupo tayari kukijadili kwa kina ama kitaje na kijadili kwa kina.
"Put up or shut up" wanasema Waingereza.
Kiranga,Ukishasema kuna barua, kama ni muwazi, una wajibu wa kuelezea yaliyomo katika barua hiyo, hususan kama barua ni ya magwiji, inahusu makubwa na ulitakiwa kusema hayo na watu unaowaheshimu waliotangulia.
Usiposema, utakuwa umewakosea heshima.
Pia, utakuwa unatukosea heshima uliotuambia kuna barua halafu hutaki kutuambia imesemaje. Bora usingetuambia kabisa.
Pia, kuna wengine watakuona mzushi tu, kwa sababu kila mtu anaweza kujifaragua "nimepokea barua kutoka kwa Papa Francis wa Wakatoliki leo, jana nilipokea ya Obama, sina hata muda wa kuzijibu".
Kila mzushi anaweza kusema hivyo. Ili ujitenganishe na wazushi hawa, ama usitaje kaabisa kitu ambacho hupo tayari kukijadili kwa kina ama kitaje na kijadili kwa kina.
"Put up or shut up" wanasema Waingereza.
Bwai,Inawezekana kweli wakakosa cha kueleza, kama kweli walishiriki kwenye hizo harakati?
1. Sijaona uzushi. Naona unatoa mwanya wa mtu kusema unaleta ujuzi, that you are a namedropper, unataja majina na barua halafu hutaki kuzielezea. Hutakiwi kutoa mwanya huu.Kiranga,
Katika utafiti mtu unakutana na mengi na unakujajua mengi.
Kama mwandishi na mtafiti mimi nina wajibu wa kulinda faragha
za watu na baadhi ya mambo niliykuja kuyajua katika uhusiano
wetu.
Hili ni suala la akida.
Ikiwa utaona kufanya kinyume cha hivi ni uzushi hiyo ni bahati
mbaya kwetu sote.