SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,919 Feb 20, 2017 #61 Mohamed Said said: Maganga... Kwenye msiba wa Ally Sykes niliombwa na watoto wake nizungumze kwa ufupi maisha yake na nilifanya hivyo. Hapo hapo tukiwa msibani kabla ya mazishi nilifanyiwa mahojiano na BBC na gazeti la Citizen. Ingependeza Wanamajlis na hili hulisema mara nyingi hapa kuwa ni busara mtu ukufanya utafiti kidogo kabla ya kuandika. Unaweza kusoma hapa chini baadhi ya yale niliyoeleza pale msibani katika wasifu wake: Mohamed Said: Ally Kleist Sykes 1926 – 2013 Mzalendo Muasisi wa TANU Aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1 Click to expand... Shukran kwa kutufahamisha hilo
Mohamed Said said: Maganga... Kwenye msiba wa Ally Sykes niliombwa na watoto wake nizungumze kwa ufupi maisha yake na nilifanya hivyo. Hapo hapo tukiwa msibani kabla ya mazishi nilifanyiwa mahojiano na BBC na gazeti la Citizen. Ingependeza Wanamajlis na hili hulisema mara nyingi hapa kuwa ni busara mtu ukufanya utafiti kidogo kabla ya kuandika. Unaweza kusoma hapa chini baadhi ya yale niliyoeleza pale msibani katika wasifu wake: Mohamed Said: Ally Kleist Sykes 1926 – 2013 Mzalendo Muasisi wa TANU Aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1 Click to expand... Shukran kwa kutufahamisha hilo
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 9,626 Reaction score 6,731 Feb 20, 2017 #62 Las Mas Bobos said: Hizi shughuli za kujikweza huwa haziwachoshi? Mohamed Said halali mpaka anakonda kazi ni kuhubiri kwa nini ABC halafu zote pumba. Haya niambie na wewe na mada yako, kama angepewa nafasi ya kuhutubia, marehemu angefufuka? Click to expand... Una akili sana, waambie ukweli wajuwe.
Las Mas Bobos said: Hizi shughuli za kujikweza huwa haziwachoshi? Mohamed Said halali mpaka anakonda kazi ni kuhubiri kwa nini ABC halafu zote pumba. Haya niambie na wewe na mada yako, kama angepewa nafasi ya kuhutubia, marehemu angefufuka? Click to expand... Una akili sana, waambie ukweli wajuwe.