Ndio akili zetu yani wanaoiba mamilioni na kutia hasara nchi wapo tu wanatembea kwa kuringa hawaguswi ndio kwanza wanazidi kujiongezea tu ila sisi huku mtaani ndio tunahamasishana kuuwana na tunajiona vidume.Mbona wezi wa ccm hajawahi kuhamasisha wakamatwe japo wafungwe?
Inasikitisha sanaNdio akili zetu yani wanaoiba mamilioni na kutia hasara nchi wapo tu wanatembea kwa kuringa hawaguswi ndio kwanza wanazidi kujiongezea tu ila sisi huku mtaani ndio tunahamasishana kuuwana na tunajiona vidume.
Bampa to bampa watu siyo wazuri bora kwako aingie chatu maana akikuta unga angalau atakuacha.uku uzunguni io tunaita, above the law,,jamaa ana point.
Mnakamata mwiz mnakabidhi polisi,anakaa siku mbili anaachiliwa,apo akirud lazima mtalia sababu atakua na ramani nzima ya hilo eneo.
acha tu.Bampa to bampa watu siyo wazuri bora kwako aingie chatu maana akikuta unga angalau atakuacha.
Inabidi upambane umalizane naye kabla yeye hajakumalizaSasa hapo Chalamila kakosea wapi. Kwani mwizi akivunja nyumba na kuingia ndani unafanyaje ?
Duuh! Kweli gazeti lakini halichoshi kusoma. Script writerr mzuri wewe.acha tu.
wiki ilopita tu apa mtaani kwangu walikamata mwizi, yaani mwenye nyumba alikua katoka kafunga milango mingine ila grill aliegesha tu.
Sasa jamaa ile linaingia tu kuna watu walikua wanaenda zao shamba wakamuona,wakamfungia kwa nje,kisha majirani tukaitwa kuzingira ile nyumba adi mwenye nyumba afike.
alipofika kufungua alitafutwa akaonekana sebuleni,sijui alipenya wap akatoboa ad uko aseee mwizi ni mwizi😂🤣.
ile kumtoa nje kwanza anangeu na machata ya kutosha mwilini ya mapanga na kashonwa nyuzi kabsa bado vdonda vibichi.
Aloooh walimtandika,afu polisi wanakuja wanasema,mbona uyu jamaa alitoroka hospital wiki ilopita kuna kijiji alikamatwa wizi😂🤣kwanza nyie hamjapiga kule tulienda kuchukua hawezi kutembea.
Wakaondoka nae,ila walimtandika maeneo muhimu kwaio hakutoboa io siku alifia uko walikompeleka polisi.
Pole kwa gazeti na mwandiko mchafu,mana nimefutafuta sana🤣🤣🤣🤣.
🤣🤣😂😂Looh jamanDuuh! Kweli gazeti lakini halichoshi kusoma. Script writerr mzuri wewe.
Tukio lako kama movie☺️
ushetani ukikaa moyoni hata ujifiche namna gani, kuna siku utakuwa wazi tu. hapo hakuwa anajielewa anachosema hadi pale atakapotumbuliwa.Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
Kweli ☺️☺️🤣🤣😂😂Looh jaman
Acha chuki..... Yaani chuki zako binafsi na chalamila unaleta kwenye mambo ya msingi.... Sasa ndo umeongea nini hapo wewe mzee wa kubinywa kisogo ili kibagarashee kikae vizuri.....Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
uongooooo huo n uongo bwanKweli ☺️☺️
Naapauongooooo huo n uongo bwan