Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Unamdhalilisha Mwanadiplomasia wa Ghana Koffi Annan(RIP)Kwanza chalamila alikosea sana, ilitakiwa unagawanya marinda kwa kutumia kisu kabla ya kumuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamdhalilisha Mwanadiplomasia wa Ghana Koffi Annan(RIP)Kwanza chalamila alikosea sana, ilitakiwa unagawanya marinda kwa kutumia kisu kabla ya kumuua
Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kum
Tena aanze na wewe unayetete majambaziKupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
HAYAJAWAHI KUKUTA WEWE UNGEMWELEWA RC ...WALE MBWAAA OLE WAKOO WAKUWAHI WEWEE BORA UFEE WANAGONGA VISU KWENYE FIGOO INI NDIO UTAMWELEWA RCKupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
HQHQHQ NDIO PROPAGANDA YA HII THREAD 😂 😂Nina uhakika 100% Makonda atarudishwa DSM.
Wewe kama siyo mwizi basi ni raia ambaye hajawahi kuibiwaKupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
NI KWELI ...HUYU KAMA SIYO MWIZI MWENYEWE BASI HAYAJAMKUTA......ILA WAMAKONDE MNATUONEA SANA😀😀HAYAJAWAHI KUKUTA WEWE UNGEMWELEWA RC ...WALE MBWAAA OLE WAKOO WAKUWAHI WEWEE BORA UFEE WANAGONGA VISU KWENYE FIGOO INI NDIO UTAMWELEWA RC
SISI MBEZIBEACH ATUJUI KUMWACHA MWIZI MKUU NA KUNA MMAKONDE AKISHAKUFA MWIZI ANAKATA MASIKIO YOTE ANAONDOKA NAYO MPAKA SASA ATUJAWAHI KUJUA MKUU ANAPELEKAGA WAPI AMA KUYACHEMSHA WALE WAFEE TU
Nikafikiri umeamua kuua raia wema kumbe wezi. Hata ingekuwa Mungu anashauriwa kuwaua wote basi tungeshamshauri afanye hivyo.Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
Majizi yauwawe tu hakuna namna yoyote ya kuyateteaKupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;
1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa
2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.
3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.
Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.
Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
Yupo sahihiKupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;