Nani anamlipa huyo mlinzi??Wakuu,
Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.
Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?
I know, ni upuuzi hata kufikiriaEti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.
Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba
Bila ushahidi huu ni upuuzi mtupu.Wakuu,

we ni chama gani?Kwani kulikua na mgombea pale.
Mboga mbogawe ni chama gani?
Mboga mboga
CCM hawataki tumiliki magari ya kisasa, wanataka waendeshe wao na family zao
Taludi baadaekupitia hii comment yako ya mwaka 2025 na hata kitendo cha kuiita mwana "mbogamboga" basi ni dhahiri wewe huwezi kua mwana mbogamboga
kama ikiwa wewe ni chadema, je 2020 mwalimu alifaa kua mgombea mwenza? kama hakustahili kwanini chama kiliamua awe mgombea mwenza?