ni nani aliwataka kurudisha magari na walinzi hao na kwa utaratibu upi?Wakuu,
Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.
Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?
I know, ni upuuzi hata kufikiriaEti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.
Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba
Kodi zako mkuuNani anamlipa huyo mlinzi??
Washenzi tu.Hapa duniani nimeona watu wafuatao wakiguswa kidogo ni vilio kila kona lakini ni mabingwa wa kuharibu.Watusi(Rwanda),Wazanzibar na wayahudi wa mchongo(duniani kote).Hizi jamii zinapenda kudeka,wakiguswa tu kidogo vilioMalast born kwa kodi zetu, ni huzuni!
ni nani aliwataka kurudisha magari na walinzi hao na kwa utaratibu upi?
na hao wengine walirudisha lini na wapi?
asante kwa porojo ya February2026 ndugu mdau wa JFKwa utaratatibu huo huo waliochukulia bwana Chawa🌚, hata guys Dr. Mwigulu Nchemba anajua😎
Hujui tume ni tawi la CCM?Katika himaya ya CCM kivipi gari wanatoa Tume? Hela zako ndo zinalipia mafuta na mshahara wa mlinzi ujue?🌚
Ndio inabidi tukatae wote, sio mmoja anakataa mwingine asema liwalo na liwe. Tunawapa nguvu ya kutubagazaHujui tume ni tawi la CCM?
Yule jaji Mwambengele hujui ni kada wa CCM na ili mtu awe mteule wa hiyo tume lazima awe kada wa CCM?
Katiba mpya ndio itakua tiba ya haya yote tuipiganie kwa nguvu zote.Ndio inabidi tukatae wote, sio mmoja anakataa mwingine asema liwalo na liwe. Tunawapa nguvu ya kutubagaza
Kama ninavyowajuwa INEC wapo vizuri sana katika kusimamia sheria sidhani kama wanaweza kuruhusu jambo kama hilo.Wakuu,
Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.
Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?
I know, ni upuuzi hata kufikiriaEti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.
Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba
porojo haina gharama na wala haiwezi kumkomoa mdau yeyote wa JF ndugu mdau,Eti eeeeh, uzuri ni kuwa hata hela yako inatumika kwenye huu upuuzi! Humkomoi yoyote chawa, kama sio wewe basi kizazi chako kitalipia ujinga wako🌚
Ww ndio Salumu Mwl mwenyewe nini?Bila ushahidi huu ni upuuzi mtupu.
Amandla...
Wakuu,
Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.
Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?
I know, ni upuuzi hata kufikiriaEti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.
Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba
Mama yake salum mwalimu ni afisa usalama yupo oysterbayWakuu,