PostGE2025 Kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu hajarudisha gari na mlinzi alivyopewa wakati wa 'Uchaguzi'?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Alirudisha lakini akakataliwa akaamvuwa ni maelekezo KUTOKA juu Kwa Samia Kwa sababu ni mwarabu mwenzake
Kwamba mama amesema, 'tumia tu mwanangu hata usijali, Watanzania watalipia'🌚
 
Salum Mwalimu na Chama cha ubwabwa ni tawi/shina la CCM hivyo hiyo gari bado ipo katika himaya ya CCM.
Katika himaya ya CCM kivipi gari wanatoa Tume? Hela zako ndo zinalipia mafuta na mshahara wa mlinzi ujue?🌚
 
Wakuu,

Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.

Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?

I know, ni upuuzi hata kufikiria:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Eti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.

Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba
ni nani aliwataka kurudisha magari na walinzi hao na kwa utaratibu upi?

na hao wengine walirudisha lini na wapi? :HAhaa:
 
Katika himaya ya CCM kivipi gari wanatoa Tume? Hela zako ndo zinalipia mafuta na mshahara wa mlinzi ujue?🌚
Hujui tume ni tawi la CCM?

Yule jaji Mwambengele hujui ni kada wa CCM na ili mtu awe mteule wa hiyo tume lazima awe kada wa CCM?
 
asante kwa porojo ya February2026 ndugu mdau wa JF :HAhaa:
Eti eeeeh, uzuri ni kuwa hata hela yako inatumika kwenye huu upuuzi! Humkomoi yoyote chawa, kama sio wewe basi kizazi chako kitalipia ujinga wako🌚
 
Hujui tume ni tawi la CCM?

Yule jaji Mwambengele hujui ni kada wa CCM na ili mtu awe mteule wa hiyo tume lazima awe kada wa CCM?
Ndio inabidi tukatae wote, sio mmoja anakataa mwingine asema liwalo na liwe. Tunawapa nguvu ya kutubagaza
 
Wakuu,

Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.

Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?

I know, ni upuuzi hata kufikiria:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Eti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.

Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba
Kama ninavyowajuwa INEC wapo vizuri sana katika kusimamia sheria sidhani kama wanaweza kuruhusu jambo kama hilo.
 
Eti eeeeh, uzuri ni kuwa hata hela yako inatumika kwenye huu upuuzi! Humkomoi yoyote chawa, kama sio wewe basi kizazi chako kitalipia ujinga wako🌚
porojo haina gharama na wala haiwezi kumkomoa mdau yeyote wa JF ndugu mdau,

ni muhimu sana kufahamu hili:HAhaa:
 
Wakuu,

Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.

Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?

I know, ni upuuzi hata kufikiria:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Eti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.

Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba

Inasemekana ni MPWA wa mwenye nchi.
 
Mama yake salum mwalimu ni afisa usalama yupo oysterbay
 
Back
Top Bottom