Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

Kwanini Marekani,ulaya na nchi nyingine nyingi ukimwi sio tatizo?Hapa lazima sub sahara tumechezewa mchezo na wazungu.Tafuta post za Deception utajua meng.
 
Nilipata maelezo kutoka kwa mpenzi wangu ambaye pia ni HIV positive, kwamba kila ugonjwa unaoingia mwilini, ili uuathiri mwili ni lazima upokelewe na mwili.

Baadhi ya watu miili yao haina vipokezi ( receiptors) vya baadhi ya magonjwa. Mfano UKIMWI.

Hivyo yawezekana wewe ni mmoja wa wasio na vipokezi vya ukimwi mwilini mwako hivyo huwezi kuambukizwa.

Hilo neno allitaja hivyo sina uhakika kama huandikwa hivyo. Nimepita haraka bila utafiti.
 
Duuh
 
 
mkuu usihofu, utaupata tu, vuta subira.
 
Huenda labda Sababu kuu ni kuwa anazingatia dawa.
 
Nimetembea Tena na wanawake wengine kama wawili kwa muda wa mwaka mzima ,mmoja mwaka na nusu na wote walikuwa wananificha nimegundua juzi nimewapeleka wakaanze dozi NAMI nikapima upya bado majibu ni yaleyale Niko Sina virusi vya ukimwi.

Ikabidi nipime kundi la damu akaniambia ni group 0 gani (nimesahau kama neg au post)

Ila akasema Hilo group ni ngumu sana kupata magonj na naweza kuchangia damu mtu yeyote so nahisi huenda ikawa ndio sababu ama kudra tu za Mungu
 
Halafu nimekuwa na bahati mbaya sana katika hili,nilichepuka nje ya ndoa na mwanamke mwingine baada ya miezi sita nikagundua naye ni muathirika na hakuwa anatumia dawa kwa kuwa anaona album na kuogopa kujulikana

Nilimpeleka hospitality ya Ngamiani Tanga tukapimwa sote tukapewa ushauri na nikamuanzishia dozi na mpaka sasa ni mfuatiliaji mzuri wa huduma za ctc ila bado mm niko salama sina maambukizi,

Baada ya muda nikaanzisha tena mahusiano na dada mwingine huyu tulikutana bar alikuwa ni mhudumu na siku moja nikakuta chupa ya dawa geto kwake akakataa siyo yake maana alikuwa anakaa na wenzake wawili nikaja na vipimo tukapima ikaonekana Ana maambukizi ila mimi bado nikawa salama na hapo tumeshadate kama miez minne.

Ila kuna siku nilienda maabara nikacheki hiv akaniambia sina nikamuomba acheki group la damu akaniambia group 0 sijui na maelekezo menu kuhusu kundi hilo la damu ila mm nishasahau maana aliongea mambo mengi ya kidaktar daktari.. najaribu kufikiria niwaache ila nahisi kama nitawaacha kwenye wakat mgumu sana.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…