Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
- Thread starter
- #61
kama unahisi ni uongo ama ni chai tuache tu twende kwenye nyuzi zingine sioni umuhimu wa hiloPicha kwanza za kuthibitisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unahisi ni uongo ama ni chai tuache tu twende kwenye nyuzi zingine sioni umuhimu wa hiloPicha kwanza za kuthibitisha.
hii inaweza kutokana na nini kitaalam napenda tujue hata kidogo labda ni hali ya hivi.inatokea hivi na vile na vile nkyour case is bit different.... una bahati special
Peacekama unahisi ni uongo ama ni chai tuache tu twende kwenye nyuzi zingine sioni umuhimu wa hilo
Nasikia kuna watu wa damu group O wana hiyo advantage unlike watu wa other blood groups kwa kuwa maumbile ya cell zao nyeupe za damu haziruhusu na hazina mazingira rafiki ya virus wa UKIMWI ku-exist.Habari zenu
Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi
Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata katika kampeni mbalimbali tunahimizwa kuacha ngono zembe na tutumie kinga ili kujikinga na maradhi haya.
Sasa ni miaka mingi sana tangu nimuoe mke mwenye virusi vya ukimwi na sikuwahi kutumia kinga mpaka siku nilipojua kuwa ni muathirika imeshapita miezi mingi nikaenda kupima nikaambiwa niko salama nikapewa na kondom nakumbuka niliitumia siku moja tu na nikasema kwa roho safi kuwa liwalo na liwe kupata kutokupata yote ni sawa sote tutakufa na sinaga kabisa hofu wala kuwaza hata sikujali tena hiyo issue ili kumpa amani ya roho maana alishapatwa na mshtuko hata yeye hakutegemea kwan alikuwa ni mdogo na alizaliwa nao ni mama yake ndio alikuwa anaficha ukweli
Nikaishi nae yafika mwaka wa sita sasa na Mungu ametujaalia watoto wa kiume wawili ambao wao wako salama kwa kuwa nafuata taratibu zote za kidaktari juu ya watoto wanaozaliwa na mama mwenye HIV
Huwa nasex nae kavukavu,wakat mwingine showshow za kufa mtu,kimaumbile niko vizuri,wakat mwingine michubuko na vidonda wakat wa sex na michubuano hutokea mara kwa mara kutokana show za vurugu zinazotokea.
Lakini sasa ni mwaka wa sita au watano leo nimempeleka akachukue dawa nikapima majibu yanakuja bado niko salama
Sasa najiuliza hivi kuna uwezekano gani miaka yote hiyo bado nisipate ukimwi,kwanini sipati ama ngono sio sababu kuu ya kupata ukimwi ama kuna vitu vingine vinachangia ama inakuwaje kuwaje hii hali.
Tukumbuke kuwa hata nikipata mimi sijali nafsi yangu ilishakunjua kiroho safi na siogop wala sina hofu yani naishi tu safi tu najua kufa kupo haijalishi NITAKUFAJE
Wataalam,wajuzi na madakatari hebu mkuje kidogo mnieleze kitu kuhusu hili,huenda wengine wakapat elimu na kufaidika pia.
Matusi na kebehi si vyema wandugu ni bora upite tu pia nisieleweke vibaya kwenye bandiko langu hili kwani ni kweli ukimwi upo na unaua na hata nami nimeshuhudia.
Nawasilisha
Nasikia kuna watu wa damu group O wana hiyo advantage unlike watu wa other blood groups kwa kuwa maumbile ya cell zao nyeupe za damu haziruhusu na hazina mazingira rafiki ya virus wa UKIMWI ku-exist.
Katika uumbaji wao wa white blood cell inqsemekana umbile la cell hizo nyeupe ni smooth cycle kama (duara jero ya sasa) wakati mazingira mazuri ya virus ni katika umbo la cell nyeupe za damu zenye umbo kama vile picha ya Amoeba (rough cycle shape) hivyo kufanya kuzaliana zaidi katika mazingira hayo. Na kwamba other blood groups wana cell ambazo ni rafiki kwa Virus kuzaliana na ku exist!
Maelezo yangu ni ya ki layman lkn nadhani yatakuwa wameeleweka. Naamini wataalam wa Anatomy watakuja na elimu zaidi
nimeeleza mbona kwenye post au imagine miaka yote hiyo bro na show zenyewe ndio hizi yani michubuko + mpaka ukioga unaumia sio michubuko tena ni vidonda sasa unauguza vikipona show show KWANINI MIMI SIPAT?Subiri siku ya kuchubuka, damu kwa damu, utapata.
dah umenifumba kabisa maana sijui kilugha cha english,hiyo g120 na mutation mm hata sielew kitu.fafanua mtu wangu ile chambua mambo na tia manyama nyama ya kiswahili mtu wanguItakua una mutation kwenye g120 !
safi sana ndugu yangu kama una lolote unajua ongezea kushusha nondo ndugu yako hata nipate maarifa mawili matatu kaka mkubwa,maneno yako machache yanaweza kunipa mwanzo mpya kamanda wanguPeace
hapo ndio sijui kitu ....najuaje?au nikapime hospital kule vipimo hivyo vipo?..bei je sio mambo ya pesa ndefu maana sina kitu ni kabwela fulani hivi.Ningependa kujua group la damu yako.
Blood group test ni kipimo kirahisi kabisa kukipima, majibu ni dakika 2 - 5 tu. Bei ni rahisi sana buku tatu hadi tano hivi kwa maeneo mengi.hapo ndio sijui kitu ....najuaje?au nikapime hospital kule vipimo hivyo vipo?..bei je sio mambo ya pesa ndefu maana sina kitu ni kabwela fulani hivi.
Huo ni uongo hv unajua kuwa kirusi cha ukimwi ni kidogo sana hakionekani hata kwa microscope ya kawaida.Nasikia lakini ety ukitoka kufanya sex kuna ule uchafu huwa unaingia kwenye tobo la uume ukikaa kwa muda mrefu na ukawa na mchubuko unaweza ukapata ndomana wengi baada ya kujamiiana wanaenda kukojoa ili kuua virus wanaokuwa kwenye hizo njia
Mutation ni mabadiliko ya vinasaba.dah umenifumba kabisa maana sijui kilugha cha english,hiyo g120 na mutation mm hata sielew kitu.fafanua mtu wangu ile chambua mambo na tia manyama nyama ya kiswahili mtu wangu
Hizi takwimu mnazitoa wapi?Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
Habari zenu
Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi
Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata katika kampeni mbalimbali tunahimizwa kuacha ngono zembe na tutumie kinga ili kujikinga na maradhi haya.
Sasa ni miaka mingi sana tangu nimuoe mke mwenye virusi vya ukimwi na sikuwahi kutumia kinga mpaka siku nilipojua kuwa ni muathirika imeshapita miezi mingi nikaenda kupima nikaambiwa niko salama nikapewa na kondom nakumbuka niliitumia siku moja tu na nikasema kwa roho safi kuwa liwalo na liwe kupata kutokupata yote ni sawa sote tutakufa na sinaga kabisa hofu wala kuwaza hata sikujali tena hiyo issue ili kumpa amani ya roho maana alishapatwa na mshtuko hata yeye hakutegemea kwan alikuwa ni mdogo na alizaliwa nao ni mama yake ndio alikuwa anaficha ukweli
Nikaishi nae yafika mwaka wa sita sasa na Mungu ametujaalia watoto wa kiume wawili ambao wao wako salama kwa kuwa nafuata taratibu zote za kidaktari juu ya watoto wanaozaliwa na mama mwenye HIV
Huwa nasex nae kavukavu,wakat mwingine showshow za kufa mtu,kimaumbile niko vizuri,wakat mwingine michubuko na vidonda wakat wa sex na michubuano hutokea mara kwa mara kutokana show za vurugu zinazotokea.
Lakini sasa ni mwaka wa sita au watano leo nimempeleka akachukue dawa nikapima majibu yanakuja bado niko salama
Sasa najiuliza hivi kuna uwezekano gani miaka yote hiyo bado nisipate ukimwi,kwanini sipati ama ngono sio sababu kuu ya kupata ukimwi ama kuna vitu vingine vinachangia ama inakuwaje kuwaje hii hali.
Tukumbuke kuwa hata nikipata mimi sijali nafsi yangu ilishakunjua kiroho safi na siogop wala sina hofu yani naishi tu safi tu najua kufa kupo haijalishi NITAKUFAJE
Wataalam,wajuzi na madakatari hebu mkuje kidogo mnieleze kitu kuhusu hili,huenda wengine wakapat elimu na kufaidika pia.
Matusi na kebehi si vyema wandugu ni bora upite tu pia nisieleweke vibaya kwenye bandiko langu hili kwani ni kweli ukimwi upo na unaua na hata nami nimeshuhudia.
Nawasilisha
KakurupukaUmesoma vizuri maelezo yake?
Sasa tumjibu vipi jamani,maana swali lake gumu kweli😄UMENIFANYA NIMECHEKA KWA SAUTI KUBWA HAPA NILIPO,UMENITIA AIBU MAANA nmeONEKANA NACHEKA TU NA SIMU MPAKA NIKAULIZWA kulikoni bro! nikavunga aaah kuna katuni imenivunja mbavu huko fb,akaongeza hebu nami nione nikatia imu mfukoni maana hajui hii situation