Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki