Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Mutungi anatumikishwa kama mtumwaKuifuta chadema nikuleta vurugu bila sababu. Acheni watu wafanye siasa. Safari hii ndani na nje ya nchi kutakuwa na shida kubwa.

Kama Jiwe alikufa akaiacha Chadema, ndio awe huyu Hangaya anayetegemea mkwewe?Then, wait to face the consequences!
Wewe kwa uzushi umezidi. Unadhani ni rahisi kufuta chama? Tatizo huwa unalala unaota unaanza kuandiaka kana kwamba tukio limetokea kweli. UnachoshaMsajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Wazungu washastukia mchongoAnaogopa wazungu wanaompa mboga mama
Akiifuta upinzani unahamia ndani ya ccm... Jitahidi tusichoke!Afute tu, haya mapichapicha yanatuchosha
Tokea lini shingo na kichwa cha umbo hili kikawa na akili?UVCCM kuna utapia wa afya ndio wanabishana na gwajima hawa
View attachment 3347871
Atafutika yeye!Atajifuta mwenyewe
Mwamba angelitaka kuiua Chadema hakuhitaji hata dakika moja ya kusubiri.Kama Jiwe alikufa akaiacha Chadema, ndio awe huyu Hangaya anayetegemea mkwewe?
Kuna mfalme aliagiza mwanasesere kutoka nchi ya mbali kama pambo la nyumba yake, siku moja mfalme aliamka usku kwenda kujisaidia, akiwa na wenge la usingizi hakukumbuka kama ana mwanasesere ndani, kumtazama yule mwanasesere ghafla mfalme akaanguka chini kwa mshituko wa kuona mwanasesere pambo akidhani amevamiwa, mfalme akapoteza maisha.Yaani Msajili aogope mwanasesere aliyemuumba kwa mikono yake?
Enh huyu kuku kishingo katokea wapi tena😂😂😂UVCCM kuna utapia wa afya ndio wanabishana na gwajima hawa
View attachment 3347871
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
CHADEMA inajifia yenyewe taratibu ya Nini apate kazi ya kukifutaMsajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Ni ngumu sana Republican kuifuta Democratic, dunia nzima itabaki midomo wazi.Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Nahisi kuzuka vurugu nchini TanzaniaMsajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
chauma hicho ni kituko kingineKimeumana,chadema wakiifuta tuna backup ya CHAUMMA so waifute tutakinukisha kupitia CHAUMMA
Huyu ni nani na ana cheo gani huko UVCCM? mbna km ana unyafuzi? Afya ya akili haiko timamu. LolUVCCM kuna utapia wa afya ndio wanabishana na gwajima hawa
View attachment 3347871
Huyu mtungi na mchome wamefunga ndoa ya jinsia moja kinyemela.Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.