WALDO
JF-Expert Member
- Mar 15, 2019
- 428
- 440
Utahamia ww na mmkoKimeumana,chadema wakiifuta tuna backup ya CHAUMMA so waifute tutakinukisha kupitia CHAUMMA
Utahamia ww na mmkoKimeumana,chadema wakiifuta tuna backup ya CHAUMMA so waifute tutakinukisha kupitia CHAUMMA
sio utapia mlo tu naona sababu nyingine ni kulawiti wapinzani kupita kiasi ndomana wamedhoofu hivyoUVCCM kuna utapia wa afya ndio wanabishana na gwajima hawa
View attachment 3347871
personal attack.Utahamia ww na mmko
Halafu ikawaje?Mwamba angelitaka kuiua Chadema hakuhitaji hata dakika moja ya kusubiri.
Wacha a jaribu kufanya hivyo, Kenya Kuna kiongozi wa tume ya uchaguzi alikufa, wajifunze kile kilitokea kule wakati jeneza likipitushwa barabarani... 😁 😁Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Kawaachia iwafie.Halafu ikawaje?
Alimiagiza mumeo au mchepuko wako?!!!!!Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Hili la lengo la "Kuifuta CHADEMA", lipo wazi kabisa.Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Huna hoja, Kapuku we!Alimiagiza mumeo au mchepuko wako?!!!!!
Mbona kama mnashindana wenyewe tu, mnatengeneza mazingira vyombo vichukue hatua ionekane mnafuatiliwa.......hamtoboi kwa hivyo.Hili la lengo la "Kuifuta CHADEMA", lipo wazi kabisa.
Haifahamiki kitakacho fuata sasa ni kipi. Akiondolewa Heche itakuwaje?
Huko chini kuna muundo unaoweza kuendeleza mapambano bila ya uwepo wa viongozi wa ngazi za juu?
Hii sasa ni VITA rasmi; kati ya Genge la Samia ndani ya CCM; na waTanzania wapenda mabadiliko kwa nchi yao.
"NO REFORM, NO ELECTION", inatakiwa sasa iwe 'movement' rasmi, isiyotegemea chama kuisimamia.
Sasa hapa umeandika kipi cha maana.Mbona kama mnashindana wenyewe tu, mnatengeneza mazingira vyombo vichukue hatua ionekane mnafuatiliwa.......hamtoboi kwa hivyo.
😆😆😆😆Mchome eeee, kula bata usaliti unalipa sasa hivi unatesa tu Mzee, Masaki patamu nyumba ya dola 6,000 kwa mwezi si mchezo aisee!!
ula huna amani.