Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Sasa mbona hatekelezi?Yaani Msajili aogope mwanasesere aliyemuumba kwa mikono yake?
Atajifuta mwenyeweMsajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Chadema ni mtoto wa Msajili wa VyamaSasa mbona hatekelezi?
Thubutu yake!Chadema ni mtoto wa Msajili wa Vyama
Ukitaka kumchinja Kobe...lazima umlie timingMsajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Hata mimi nalijua hilo, but what I know is that The Registrar is cautious, calculated, meticulous and eager to do it. Just wait!Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Tahadhari ya nini wakati kaagizwa na mungu hangaya, nani atamgusa?Hata mimi nalijua hilo, but what I know is that The Registrar is cautious, calculated, meticulous and eager to do it. Just wait!
Hakuna mwanaccm anayeogopa MunguMsajili ni Mlokole
Atasubiri saanaMsajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu.
Cha kushangaza bado anagwaya, badala yake anampangishia nyumba Mshirika wake Mchome ili aendelee kusumbua Chadema, Huyo Mchome mwenyewe tayari kishahamia CHAUMA! na kumuacha Mutungi kwenye mataa!
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
Kama umeambiwa uifute kabla ya Mei unasubiri nini? Usipofanya hivyo utafukuzwa kazi wewe. Shetani hana Rafiki
Then, wait to face the consequences!Tahadhari ya nini wakati kaagizwa na mungu hangaya, nani atamgusa?