Kwanini Msajili wa Vyama vya siasa anaogopa kuifuta Chadema kama Alivyoagizwa?

Wewe kwa uzushi umezidi. Unadhani ni rahisi kufuta chama? Tatizo huwa unalala unaota unaanza kuandiaka kana kwamba tukio limetokea kweli. Unachosha
 
Yaani Msajili aogope mwanasesere aliyemuumba kwa mikono yake?
Kuna mfalme aliagiza mwanasesere kutoka nchi ya mbali kama pambo la nyumba yake, siku moja mfalme aliamka usku kwenda kujisaidia, akiwa na wenge la usingizi hakukumbuka kama ana mwanasesere ndani, kumtazama yule mwanasesere ghafla mfalme akaanguka chini kwa mshituko wa kuona mwanasesere pambo akidhani amevamiwa, mfalme akapoteza maisha.

Funzo
"Mwansesere anaweza kumuua mfalme"
 
CHADEMA mbona hamtaki kufuata taratibu?
Hoja ni kwamba Kikao kilichofanya uteuzi wa viongozi mbalimbali waliotajwa na Msajili si halali kwa maana ya kwamba Kikao hicho akidi haikutimia!
Nilitegemea CHADEMA kama taasisi makini wajibu Hilo la akidi.
Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua uamuzi wowote kwenye Kikao kisichokuwa na akidi kamili maamuzi yake ni batili.
Kama CHADEMA walikosea bali waone namna ya kurekenisha Hilo na si kipingana na Sheria.
Mambo ya Sheria hayahitaji ubabe , na JOHN HECHE aache mambo ya ubabe na ajikite kuongoza Chama kwa kufuata Sheria na taratibu zilizopo.
 
Mutungi huwezi kuua Chadema kwa kuzuia Ruzuku au kuzuia mikutano, chadema haitoishi kwa mkate tu, na wala haitouawa kwa mbinu za kijinga zilizopitwa na Wakati.
 
CHADEMA inajifia yenyewe taratibu ya Nini apate kazi ya kukifuta

Chama hakishiriki uchaguzi na wanachama wake wanahama Kuna Chama tena hapo?

Nyinyi mnauliwa kimbinu hivi mnamjua kuwa mda utafika Lisu atafutiwa kesi zote na hapo CDM ndio itakuwa imekufa rasimi

Ujanja mwingi mbele Giza Lisu atachiwa Ijumaa alafu J2 linapigwa mechi la Simba na Yanga J3 watu wanaendelea na mambo mengine Yani nyinyi hii nchi bado tu hamjaisoma?
Hi ndio Tanzania akili yako inatakiwa ichaji mara kumi zaidi Ili ufanikiwe Yani Lisu miezi 6 tu ya uongozi wake kaua Chama
 
Ni ngumu sana Republican kuifuta Democratic, dunia nzima itabaki midomo wazi.
 
Nahisi kuzuka vurugu nchini Tanzania
 
Huyu mtungi na mchome wamefunga ndoa ya jinsia moja kinyemela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…