mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
We unadhani mo haioni potential ya Manara kimatangazo
Usikute wanatafuta namna ya kumtoa hawamtaki
Sasa haji afe njaa kisa Simba
Haji hamia Yanga kabisa babako na mwanao Ni Yanga achana na mikia
Hapa utatofautishaje kati ya Azam fc na Azam media?Kwanza, tofautisheni kati ya Kampuni ya Azam na Azam FC!! Pili, tofautisheni kati ya Simba FC na Mohamed Enterprises. Tatu, kwa mfano wa Mbowe ungeuliza "Ina maana Mbowe hawezi kutangaza bidhaa za Magufuli Engineering Company Ltd" assuming Magu angekuwa na hiyo kampuni?! Nne, nijibuni swali langu kwamba: Ina maana Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba?!
Owner wa Azam fc ni nani?
S.s bakhresa ana company zaidi ya 30,, na hyo Azam media ni moja ktk company zake,,,,sasa utatofautishaje Azam media na Azam companies?
Tatizo letu watanzania ni pale,, kila mwananchi kujifanya mjuwaji na kugeuka mwanasheria uchwara.
-- all those companies are owned by s.s.bakhresa..View attachment 1664456
Hapo utatofautishaje Azam fc na Azam media,,Dah! Kweli ndugu yangu, manake watu ni full kuchanganya madesa! Wanashindwa hata kutofautisha kati ya Azam na Azam FC! Ajabu nawauliza ikiwa Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba SC, hili swali wanalikwepa!!!!
Kama hajakuelewa kwa ufafanuzi huu ndio basi Tena...Hiyo ni akaunti binafsi ya Haji Manara na sio akaunti ya Simba! Kwa maana nyingine, anayetangaza hiyo bidhaa sio Msemaji wa Simba bali Haji Manara! Na kwa maana nyingine, hata Mo anaweza kutangaziwa bidhaa zake na Haji Manara lakini atatakiwa kumlipa Haji yeye binafsi, na malipo hayo hayataingia kwenye vitabu vya Simba!!! Na kwa maana nyingine tena ya msisitizo, hata GSM nao wanaweza kutangaziwa bidhaa zao na huyo huyo Haji Manara kwenye akaunti hiyo hiyo ya Haji Manara kama ambavyo Mo Dewji anavyoweza kutangaziwa bidhaa zake kwenye akaunti binafsi ya Antonio Nugaz!!
Na pia usisahau, kuna Kampuni ya Azam na Azam FC! Na pia kuna Simba SC na Mohamed Enterprises!!Nazi ni za Azam (kampuni) na sio za Azam FC!! Mshindani wa Simba SC ni Azam FC na sio Azam Kampuni! Na Mshindani wa Mohamed Enterprises sio Azam FC bali Azam Kampuni!!
Kwa tarifa yako hatumtoi ng'o...Manara Ni wahed Simba imempa mapembe kaamua kuongezea mkia na manara nje ya Simba Ni mtu wa KAWAIDA tu leo itokee manara out mtakuja kushangaa wenyewe eti akaunti binafsi km Ni hivyo Leo Dr kakurwa katibu mkuu CCM aitangaze chadema kwenye akaunti yke binafsi hivi unamtofautisha vipi manara na kwa wakati upi?
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
jamaa amekujibu vizuri ila wewe umeandika utumboSasa habari za Azam FC zinatoka wapi tena wakati zimezungumzia Azam TV?! Au ndo yale yale; mnadhani Mohamed Enterprises na Simba SC ni kitu kimoja, na kwa upande mwingine mnadhani Azam FC na Azam ni kitu kimoja!!!!
Hivi mchezaji na kiongozi wa timu ni sawa?Tofautisha vitu hivi 4
Simba SC v/s MoTEL Company
Azam FC v/s Azam Company
TANZANIA:
Manara ni Mwajiriwa wa Simba SC na wala sio mwajiriwa wa MoTEL Company, hivyo ili alitangazie bidhaa MoTEL Company ni lazima iingie mkataba na imlipe. Hawezi kuitabgazia bidhaa zake kwasababu tu mmiliki wake ni Bosi wa Simba SC.
Manara haitangazi AZAM FC bali anatangaza bidhaa za AZAM Company Ltd kwa kuingia nao Mkataba na Wanamlipa.
ULAYA:
Mmiliki wa Timu ya Liverpool ni FSG ambayo ni kampuni ya kibiashara ya Vifaa vya Michezo, lakini sijawahi kumuona MO SALAH akitangaza bidhaa za Kampuni hii, bali anatangaza bidhaa za NIKE ambazo ameingia nazo mkataba yeye mwenyewe binafsi kama Manara alivyoingia mkataba binafsi na Kampuni ya AZAM Company Ltd.
Je MO SALAH afukuzwe Liverpool?
Halafu huu ujuaji wenu wa kusema kitu fulani Ulaya hakipo kwasababu tu hukijui wewe munatia aibu kiukweli.
Tofautisha ndugu na mtu mmoja..hizo company zote ni za s.s bakhresa.Ngoja niongee lugha yako:Azam TV na Azam FC ni ndugu! Kwahiyo unataka kusema Mohamed Enterprises na Simba SC na wenyewe ni ndugu?!
Elewa maana ya biasharaKwahiyo tumkute mwanaccm anapost Mambo ya Chadema kwenye account Yake kisa ni account binafsi.
Unajua terms and conditions za mkataba kuhusu conflict of interest ?
Nyie ndy mnaompoteza manara,,Siku utakayoacha Ujuaji ndiyo utaweza kutofautisha SHATI LA CCM na KAMPUNI ILIYOTENGENEZA SHATI LA CCM.
Mbowe anaweza Kutangazwa bidhaa za Kampuni iliyotengeneza Shati la CCM lakini hawezi kutangaza Shati la CCM.
Mfano Ofisi ya CCM Dodoma imejengwa kwa Saruji ya Dangotte lakini Mbona anaweza kuingia Mkataba na Dangotte na kumtangazia Kiwañda chake cha Saruji.
Same kwa Manara, anaitangazia wa dhaa za Kampuni iliyoidhamini AZAM FC lakini hawezi kuitangaza AZAM FC.
Nijibu hoja yangu ya kufunguwa frem pale jangwani na kuuza jezi za na vifaa vya simba,
Au kufunguwa frem pale msimbazi club ya simba na kuuza jezi na vifaa vya yanga..
Hebu tetea hoja yako hapo.
Jamaa mwambieni kateleza na atakosa sifa za kuaminika kama msemaji..
Ngoja tuendelee kuchochea kuni..
Aridhike na anachokipata kwa muajiri wake simba sports club na sio mo dewj,,
Kama ni kuoa wote tumeoa lakini hatujafikia kupagawa na njaa kiasi hicho.
Kuna siku hyo timu ya Barcelona imecheza na timu ya Adidas anayoitangaza mesi?ujuaji mwingine hauna maana mleta uzi; umesema icho kitu ni nadra kwenye nchi zilizoendelea kitu ambacho sio cha kweli...
mbon messi yupo barcelona na barcelon inadhaminiwa na nike lkn yeye anavaa adidas...
ronaldo je anatangaza nike wakt tim inadhaminiwa na adidasi...
vitu ivyo ni vya kawaid kweny biashara ya michezo boss..
Kwani hulioni hilo?Anatumia brand ya Simba kwa manufaa yake binafsi kivipi?! Ina maana anahamasisha mashabiki wa Simba huku akitumia kofia yake ya Usemaji wa Simba ili mashabiki wanunue hizo nazi, au?!
Owner ni nani?naona unachanganya vitu.
Hizo kampuni MMILIKI NI MMOJA.
Ila zipo tofauti na zinajitegemea.
hauwezi kumkataza MTU wa Simba asitangaze Azam Nazi eti kisa Azam Nazi Ina undugu na Azam FC.
Kama NI hivyo watu WA SIMBA tusingekuwa tunaangalia azam tv maana Ni kampuni ya AZAM FC.
Ngoja tuchochee kuni,,ni jambo la muda tuKwa tarifa yako hatumtoi ng'o...
Hyo ndy ticket itakayomsafirisha kutoka simba fc.Balozi kumaliza utataView attachment 1664485
Owner ni nani?
Kama sio s.s.bakhresa?