mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
GSM Ni kampuni.
Ambayo HAINA MAHUSIANO YOYOTE NA YANGA.
mwenye mahusiano na YANGA Ni mmiliki wa GSM.
Sio kampuni ya GSM.
manara anatangaza bidhaa za GSM sio za yanga AMKENI.[emoji16][emoji16][emoji16].
GSM NA YANGA NI VITU VIWILI TOFAUTI

We unadhani mo haioni potential ya Manara kimatangazo
Usikute wanatafuta namna ya kumtoa hawamtaki
Sasa haji afe njaa kisa Simba
Haji hamia Yanga kabisa babako na mwanao Ni Yanga achana na mikia