mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Yote haya yamesababishwa na mamlaka ya kudhibiti(tcra) kuongozwa na vilaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Yesu gani huyo wanakoruhusu muumini a-chat na simu wakati wa Misa? Au kwa vile huko hakuna Misa bali kuna Ibada?njoo kwa yesu kuna raha
maskin wana lawama sana sisi mabos wa jf muda wa kulala mika data sijui nn tunautoa wapTafuta hela jiunge bando kubwa
Huyo ni fisadi PAPA!Tigo ni Wezi, si unajua kuwa inamilikiwa na Rostam?
hiyo ndio speed ya 4g, actualy ni kasi nzuriWanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini?
Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow hivyo nalazimika kutumia TIGO.Ila sasa data consumption ni hatari.
Natumia Halotel na Tigo ila halotel hawa jamaa wanafyeka bando haraka sijawahi kuona
Makanisa yote yako hivyo,unaweza chati sababu zile si Ibada Bali shughuli/event,wengine wameongeza tu kula mikate kwa zamuHilo ni kanisa au gulio? Uko kanisani huku unachat? Makanisa ya mitume na manabii ni utapeli mtupu
Kwa kweli hatari sana imagine 1GB inaisha ndani ya dk 10 bila hata kuangalia video wala kudownloadTigo ni Wezi, si unajua kuwa inamilikiwa na Rostam?
Mpka leo unajiuliza hilo swali dah sio kweli. Kwahiyo unafurahia kasi ya mtandao ila kasi ya mb kuisha unaona uchungu😂😂😂😂😂 zisake sana asee hapo bado hujaenda 5gWanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini?
Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow hivyo nalazimika kutumia TIGO.Ila sasa data consumption ni hatari.
Siyo tigo tu hata halotel ni balaaWanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini?
Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow hivyo nalazimika kutumia TIGO.Ila sasa data consumption ni hatari.
TIGO wamezidi nduguSiyo tigo tu hata halotel ni balaa
Kuna hicho kitu kinaitwa tikitoku na instagramu alooooo ndani ya dakika 30 za kuangalia zile wanaita reels kama sijakosea unajikuta gb1 imekata tena dakika 30 ni nyingi sana. Hapo ndipo utajifunza dunia ya sasa kuwa na bajeti na kuangalia mambo ya muhimu inasaidia sanaunaweza ukaona simu yako inaonesha 4G lakini uhalisia speed unayotumia ni 3G, ukiwa umeunganishwa na mtoa huduma wa aina hiyo utamsifu kwamba data haziendi sana, lakini kama mtoa huduma akikuunganisha na 4G anamaanisha 4G huyo utamlaumu kwamba data zinaisha haraka na anakuibia.
La muhimu ni wewe mtumiaji kudhibiti matumizi yako, sio kila video inayotumwa kwenye mitandao hasa whatsapp, lazima ufungue, nyingi hazina umuhimu wowote kwako. pia punguza kupoteza muda kwenye program zenye ads nyingi.