Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

Yote haya yamesababishwa na mamlaka ya kudhibiti(tcra) kuongozwa na vilaza.
 
Airtel ndio naona bando zao zinamaliza haraka kuliko tigo
 
hiyo ndio speed ya 4g, actualy ni kasi nzuri
 
Lile jinga linaloitwa Nape ndio chanzo cha yote haya.
 
Hilo ni kanisa au gulio? Uko kanisani huku unachat? Makanisa ya mitume na manabii ni utapeli mtupu
Makanisa yote yako hivyo,unaweza chati sababu zile si Ibada Bali shughuli/event,wengine wameongeza tu kula mikate kwa zamu
 
Sio Tigo peke yake ni mtandao yote yaani
Airtel
Tigo
Ttcl
Fokodam
Yaani I napiga data kama ugomvi.

Mtu unaweka 1GB unapitia whattsap halafu Facebook baadae JF
Unajibana uwiangalie video wala kudownlod picha.
Baada ya muda unaambiwa ushatumia data 75%.

Huu ji uchawi kabisa
 
unaweza ukaona simu yako inaonesha 4G lakini uhalisia speed unayotumia ni 3G, ukiwa umeunganishwa na mtoa huduma wa aina hiyo utamsifu kwamba data haziendi sana, lakini kama mtoa huduma akikuunganisha na 4G anamaanisha 4G huyo utamlaumu kwamba data zinaisha haraka na anakuibia.

La muhimu ni wewe mtumiaji kudhibiti matumizi yako, sio kila video inayotumwa kwenye mitandao hasa whatsapp, lazima ufungue, nyingi hazina umuhimu wowote kwako. pia punguza kupoteza muda kwenye program zenye ads nyingi.
 
Mpka leo unajiuliza hilo swali dah sio kweli. Kwahiyo unafurahia kasi ya mtandao ila kasi ya mb kuisha unaona uchungu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ zisake sana asee hapo bado hujaenda 5g
 
Siyo tigo tu hata halotel ni balaa
 
Kuna hicho kitu kinaitwa tikitoku na instagramu alooooo ndani ya dakika 30 za kuangalia zile wanaita reels kama sijakosea unajikuta gb1 imekata tena dakika 30 ni nyingi sana. Hapo ndipo utajifunza dunia ya sasa kuwa na bajeti na kuangalia mambo ya muhimu inasaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ