Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

Hawa Tigo juzi nililazimika kufunga laini yao, nilinunua mb 246 hazikumaliza hata dakika 20, siku-download chochote, nalumiwa ujumbe 75% imekata dakika moja baadae huna kifurushi. Nilichukuw maamuzi magumu ya kufunga kabisa line yao, sitaki mazoea.
 
Data saver weka on
 
Kwa sababu wananjaa kali
 
Hiyo Tigo yako inatumika kila siku kwa wiki au mara moja moja? Tuanzie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…