Hoja kutoka X (Twitter)👇.
View attachment 3016148
Uvccm chini ya chawa wao na mwenyekiti taifa wao, na uongonzi wote wajiuzuru mara moja
1. Wamewadhalilisha watanzania mil 60 kwamba wapo kule kuangalia mambo ya kijinga wakati wengine wapo kule kutafuta maisha
2 .Mwenyekiti wao ambae ni Rais wa nchi hii ni mdau na ipo account yake kule, pamoja na Marais wenziwe hachana na wateule wao ,na sector mbalimbali. Lakini pia uyu kilaza na mwenyekiti uvccm yupo na account kule
3 Balozi zetu achana na za mataifa mengine zipo kule
4 Majeshi ya mataifa mbalimbali wapo huko japo sikuwahi ona account ya jeshi l etu la tz but mashirika mbalimbali hata ya kijasusi yopo kule mfano shirika la kijasus la Islael n.k
Note
At dogo wa juzi anaijua dunia kuliko dunia inavyo mjua?
Waziri Nape asipo lisemea hili naye ajiuzulu , ujinga huu ,badala ya kuwa karibu na matatizo ya wenye nchi mko fikiria zima mitandao !
Mwenyekiti wa uvccm na viongozi wako msipo jiuzulu nitakuja wachapa vibao kama sio mkono wa Mungu wangu kuwachapa vibao.
Mmedhalilisha Taifa , Rais , na dunia, pumbavu