Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

Dini ndo chanzo cha umaskin ktk taifa letu,

Tuzuie uwepo wa dini kwa usalama wa taifa letu
 
Ipo hoja kwamba, kila suggestion unayoletewa ni kutokana na search yako (angalia hata reply #25). Hii imekaaje?​
 
Huwa naingia twitter ila sujawahi kuletewa habari nisiyoitaka. Yani twitter i suggest mitandao mfano ya ngono kwangu? Hapana. Kwanza sijawahi kutana na shida hiyo japo nasikia kuna uhuru huo. Pia twitter ni ngumu kutumia na engagement yake si rahisi sana.

Mbona hawashikii bango facebook ambayo ndio inaongoza kwa maudhui ya ngono na ushoga? Wana lao jambo
 
Huwa naingia twitter ila sujawahi kuletewa habari nisiyoitaka. Yani twitter i suggest mitandao mfano ya ngono kwangu? Hapana. Kwanza sijawahi kutana na shida hiyo japo nasikia kuna uhuru huo
thundercat8 👆
Mbona hawashikii bango facebook ambayo ndio inaongoza kwa maudhui ya ngono na ushoga? Wana lao jambo
🤔🤔🤔🤔​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…