chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani akifanya hiyo habari huzioni au habari ni pete
Pete yake inakuhusu nini?
Kuna mengi zaidi ya hilo ya kujadili na kuelimishana.
Mkuu tujadili hayo mengi basiii
Pete inakuhusu nini wewe
Km anaificha ww umeiyonaje?
Mkuu hata mimi nili note. Ila huwezi jua...
Tuwekee picha yake mkuu
duu watz banaa...
lengo lako nimelieleewa subiri waje wahucka watatoa jibu.
cc MAKAME.
JERICKO NYERERE
MISS CHAGA