Kwanini Mtangazaji Jaquline Silemu wa ITV anaficha Pete?

Kwanini Mtangazaji Jaquline Silemu wa ITV anaficha Pete?

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
7,694
Reaction score
4,954
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?
 
Kwani akifanya hiyo habari huzioni au habari ni pete

Hoja yangu ni pete, ndipo concern yangu ilipo, naamini angetangaza uchi ww nawe habari isingekuwa ishu kwako pia. Kila mtu ana priorities...
 
duu watz banaa...
lengo lako nimelieleewa subiri waje wahucka watatoa jibu.

cc MAKAME.
JERICKO NYERERE
MISS CHAGA
 
Back
Top Bottom