Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Wakubwa Habari za muda huu?
Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum.
Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa kawaida au ibada inakuwa imepoa. Kuna Siri gani katikati ngono?