Kwanini mtu akitoka Kufanya ngono hawezi kusali?

Wakubwa Habari za muda huu?

Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum.

Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa kawaida au ibada inakuwa imepoa. Kuna Siri gani katikati ngono?
wew ni mwanakwaya mzinzi hata umejua hili?
 
Chunguza kitu kimoja, unaweza ukakamia sana kufanya ngono na mtu fulani. Siku unaefanya nae ukikojoa tu basi nafsi inaingia jitimai na kujilaumu kwanini umefanya nae.

Na hii jitimai haishii kwenye nafsi tu, inaenda mpaka kwenye imani. Wewe unaweza jichukulia poa lakini nafsi yako inakusuta hata kumkabili Mungu, hii ni ithibati kuwa ulichofanya sio sahihi.
jitimai ni nini mkuu? Kumbe kiswahili ni kipana sana
 
Yaani umekamia masaa 2 umetoka umechoka then unataka ufocus? Focus uitoe wapi? Tena umesema a moment after, ni lazima tu utajiskia kuchoka tu.
 
Wakubwa Habari za muda huu?

Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum.

Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa kawaida au ibada inakuwa imepoa. Kuna Siri gani katikati ngono?
huu mfano wa wanakwaya sasa inamaana wanakwaya wote wametoka kuzini au mmoja tu anaweza kufanya ibada ipooze?

Anyway hii ishu labda kwako,wengine wanasali vizuri tu.
 
Wakubwa Habari za muda huu?

Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum.

Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa kawaida au ibada inakuwa imepoa. Kuna Siri gani katikati ngono?
Kumba kwaya sio ibada wa sala wewe
 
Back
Top Bottom