Kwanini mtu akitoka Kufanya ngono hawezi kusali?

wew ni mwanakwaya mzinzi hata umejua hili?
 
jitimai ni nini mkuu? Kumbe kiswahili ni kipana sana
 
Yaani umekamia masaa 2 umetoka umechoka then unataka ufocus? Focus uitoe wapi? Tena umesema a moment after, ni lazima tu utajiskia kuchoka tu.
 
huu mfano wa wanakwaya sasa inamaana wanakwaya wote wametoka kuzini au mmoja tu anaweza kufanya ibada ipooze?

Anyway hii ishu labda kwako,wengine wanasali vizuri tu.
 
Kumba kwaya sio ibada wa sala wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…